The Best of Johnny Depp: Muvi bora alizocheza Captain Jack

The Best of Johnny Depp: Muvi bora alizocheza Captain Jack

huyu jamaa ni fire sana nimemcheki kwenye lone ranger alivyo hatofautiani na wa pirates na rango sikujua kama ni ya huyu aisee dah sherrif..[emoji23][emoji23]
 
1-the lone ranger

2-once upon a time in mexico

3-Pirates of caribean franchise
 
Johny Deep ana kasura flan hivi amazing hasa alipokua kijana, he is so funny and very talented, he was born to be a Captain Jack Sparrow hakuna mtu wa kuchukua nafasi yake kama Angelina Jolie alivyozaliwa kua Maleficent, it sad Johny hajabeba tuzo ya Oscar, dunia inahitaji kuutambua mchango wake waache ubaguzi.
 
Nlimpenda kwenye Pirates of the Carribean

Captain Jack Sparrow
 
Namkumbuka kwenye 21 jump street wakati uleeeee ITV wanaonyesha baadae movie alicheza na DiCaprio akiwa bwana mdogo akili zake km chizi. Mama yao mnene sana anapokufa waahamua kumchoma moto ndani ya nyumba yao maana alikuwa mzito sana.
Sikumbuki jina LA ile movie.


Ile movie inaitwa "What's Eating Gilbert Grape", imechezwa 1993 ndio maana Di Caprio anaonekana mtoto.
 
Back
Top Bottom