Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Sleepy hollow ndo nimeikubali hapa Hiyo series ni noma Sana.
Namkumbuka kwenye 21 jump street wakati uleeeee ITV wanaonyesha baadae movie alicheza na DiCaprio akiwa bwana mdogo akili zake km chizi. Mama yao mnene sana anapokufa waahamua kumchoma moto ndani ya nyumba yao maana alikuwa mzito sana.
Sikumbuki jina LA ile movie.