Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Sala nzuri ni zile ambazo hazikujibiwa kwa sababu ziliwafundisha watu kufanya vitu wenyewe bila kusubiri miujiza wala kusubiri chochote au yeyote!
Ziliwapa watu "bitter lesson" ya kuacha kusubiri miujiza na kuanza kutake actions.
Prayer is nothing.
Hakuna kiwango chochote cha sala kiwezacho kutatua shida zako maishani mwako.
Take full responsibility of your life.
I left.