The Best Private University in Tanzania

Teofili kisanji (TEKU)

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
People will you please help me in sharing your experiences on the private universities for arts Degree courses.

I want to enroll my niece on one of them for the next academic year.
Kama una pesa za kumlipia si umtafutie hivyo vya serikali ambavyo wewe angalau unaridhika navyo? Si ni pass zake ndio zina matter, labda kama hana ufaulu mzuri.
 
sitii neno, napita tu, japo ningekushauri ingekuwa vizuri kama ungesema anataaka asome kitivo gani ndo unaweza kuelezwa, maana mtu anaweza kukutajia chuo kumbe anachokitaka anko hakipo pale
 
taja kwanza unavyovifahamu ili wadau wakuchambulie moja baada ya nyingine.tumia lugha ya taifa(kiswahili)
michango mingine, si umeelewa sasa tatizo nini?
 
MWUCE - MWENGE UNIVERSITY is the LEADING BEST PRIVATE UNIVERSITY in Tz especially for Educations Courses.
na hiki kiingereza walikufundisha hapohapo?
 
Kile cha Shigongo kinaitwaje vile??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…