Darius
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,951
- 320
Unaweza ukahitaji chuo fulani lkn tcu wakakupangia kingine.
si kweli ...ufaulu wako, na course ulizoomba ndo sababu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukahitaji chuo fulani lkn tcu wakakupangia kingine.
Chuo kikuu Huria cha Tanzania(OUT)
naungana na darius.tcu hawawezi kukupanga kingine labda ushindwe ku competesi kweli ...ufaulu wako, na course ulizoomba ndo sababu.
???? mkuu
Kama una pesa za kumlipia si umtafutie hivyo vya serikali ambavyo wewe angalau unaridhika navyo? Si ni pass zake ndio zina matter, labda kama hana ufaulu mzuri.People will you please help me in sharing your experiences on the private universities for arts Degree courses.
I want to enroll my niece on one of them for the next academic year.
michango mingine, si umeelewa sasa tatizo nini?taja kwanza unavyovifahamu ili wadau wakuchambulie moja baada ya nyingine.tumia lugha ya taifa(kiswahili)
na hiki kiingereza walikufundisha hapohapo?MWUCE - MWENGE UNIVERSITY is the LEADING BEST PRIVATE UNIVERSITY in Tz especially for Educations Courses.
na hiki kiingereza ulifundishwa hapohapo mkuu ama ulisoma sehemu nyingine?SAUT is a best private university not only in Tanzania, but also in world wide!
kumbe na hiki ni chuo cha binafsi?Chuo kikuu Huria cha Tanzania(OUT)
na hiki kiingereza ulifundishwa hapohapo mkuu ama ulisoma sehemu nyingine?