Anaitwa abdallah king kibadeni mputa naona km mmoja hatoshi hivi mana kila mtu alifanya yake makubwa kweli old z goldKibadeni
asante mkuu maana Nina la mwanzo nilikuwa silijui.Anaitwa abdallah king kibadeni mputa naona km mmoja hatoshi hivi mana kila mtu alifanya yake makubwa kweli old z gold
Una mfahamu kumbe golden boy ttz hatuna video zao mana enzi hizo radio mkulima simba na yanga wazee wanaweka dau mpk mke [emoji1] [emoji1]Zamoyoni Mogela
Unamaanisha Latolila au Katolila?Ally Latolila
Muulize nkamia akueleze alivyokuwa akiiuza Yanga naamini hutampenda! Cc Nkamia nadhani upo JF maana enzi zako ulinieleza ulivyomtumiaTangu tupate Uhuru kumekuwa na wachezaji wengi mahiri wa soka..Je katika wote hao unadhani ni mchezaji yupi anafaa kupewa tuzo ya mchezaji bora wa kitanzania wa wakati wote..
Mimi kwa maoni yangu mimi mchezaji bora wa mpira wa miguu wa wakati wote wa Kitanzania ni Said Mwamba Nassoro " Kizota ".Mdau wewe kwa maoni yako unadhani nani anafaa..Je unadhani Tanzania tumewahi kuwa na mchezaji wa kariba ya Said Mwamba Kizota?
Nkamia atakuwa mrongo..Said Mwamba aiuze Yanga? Walahi nitakata rufaa! Anyways kwenye soka la bongo chochote kinawezekana..Mfano Mwameja amekula sana hela za Gulamali ili kuihujumu Simba Yanga wawe juuMuulize nkamia akueleze alivyokuwa akiiuza Yanga naamini hutampenda! Cc Nkamia nadhani upo JF maana enzi zako ulinieleza ulivyomtumia
Funguka vizuri hapo mkuu.Ugolo wa mzee akili Mali ni kitu gani?Tanzania hatujawahi kuwa na wachezaji wa maana hata siku moja....wote ni wasanii tu na wahenga wa ugoro wa Mze Akilimali. Bila kubugia ugoro wa jadi mtu hafungi goli na ndiyo maana utakuta mchezaji akifikisha miaka 26 au 27 mpira umekwisha wakati nchi za wenzetu ndiyo mchezaji ana mature au kuhit his peak at that age.