The best Tanzanian Football Player of All the Time

The best Tanzanian Football Player of All the Time

Anaitwa abdallah king kibadeni mputa naona km mmoja hatoshi hivi mana kila mtu alifanya yake makubwa kweli old z gold
asante mkuu maana Nina la mwanzo nilikuwa silijui.
 
Tangu tupate Uhuru kumekuwa na wachezaji wengi mahiri wa soka..Je katika wote hao unadhani ni mchezaji yupi anafaa kupewa tuzo ya mchezaji bora wa kitanzania wa wakati wote..

Mimi kwa maoni yangu mimi mchezaji bora wa mpira wa miguu wa wakati wote wa Kitanzania ni Said Mwamba Nassoro " Kizota ".Mdau wewe kwa maoni yako unadhani nani anafaa..Je unadhani Tanzania tumewahi kuwa na mchezaji wa kariba ya Said Mwamba Kizota?
Muulize nkamia akueleze alivyokuwa akiiuza Yanga naamini hutampenda! Cc Nkamia nadhani upo JF maana enzi zako ulinieleza ulivyomtumia
 
Muulize nkamia akueleze alivyokuwa akiiuza Yanga naamini hutampenda! Cc Nkamia nadhani upo JF maana enzi zako ulinieleza ulivyomtumia
Nkamia atakuwa mrongo..Said Mwamba aiuze Yanga? Walahi nitakata rufaa! Anyways kwenye soka la bongo chochote kinawezekana..Mfano Mwameja amekula sana hela za Gulamali ili kuihujumu Simba Yanga wawe juu
 
Tanzania hatujawahi kuwa na wachezaji wa maana hata siku moja....wote ni wasanii tu na wahenga wa ugoro wa Mze Akilimali. Bila kubugia ugoro wa jadi mtu hafungi goli na ndiyo maana utakuta mchezaji akifikisha miaka 26 au 27 mpira umekwisha wakati nchi za wenzetu ndiyo mchezaji ana mature au kuhit his peak at that age.
 
Funguka vizuri hapo mkuu.Ugolo wa mzee akili Mali ni kitu gani?
 
Hivi labda niulize kwanini hao mnaowataja hawakwenda kucheza soka la kulipwa? Au hakukuwa na soka la kulipwa? Binafsi mchezaji bora kuwahi kutokea ni

Mbwana samatta

Simon Msuva

Na

Shiza Kichuya

hajapata tu wakala kumtafutia team
 
Method Mogella "Fundi" alizichezea klabu zote kubwa nchini Simba na Yanga lkn aliishi muda mfupi na kufariki akiwa kijana mdogo tu.

Vv
 
Back
Top Bottom