mbongowakweli
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 848
- 684
Umekamilisha siku yangu
Walifanya makubwa gani mkuu?Anaitwa abdallah king kibadeni mputa naona km mmoja hatoshi hivi mana kila mtu alifanya yake makubwa kweli old z gold
Tangu tupate Uhuru kumekuwa na wachezaji wengi mahiri wa soka..Je katika wote hao unadhani ni mchezaji yupi anafaa kupewa tuzo ya mchezaji bora wa kitanzania wa wakati wote..
Mimi kwa maoni yangu mimi mchezaji bora wa mpira wa miguu wa wakati wote wa Kitanzania ni Said Mwamba Nassoro " Kizota ".Mdau wewe kwa maoni yako unadhani nani anafaa..Je unadhani Tanzania tumewahi kuwa na mchezaji wa kariba ya Said Mwamba Kizota?
mpira wake uliishia kwa raja Casablanca,yanga ilifungwa nne,na yeye akajipatia kadi nyekundu, akastaafu na mpira wenyeweHe was good too
We mwanga.Uliza wana Yanga watakuelezea kwanini Mze Akilimali ni Mungu kwao. Akizuiwa kubugia ugoro Yanga haiwezi shinda hata iweje.
anamaanisha yule mze anavunja sana nazi. alivua kofia Yanga ikapigwa 5 na simbaFunguka vizuri hapo mkuu.Ugolo wa mzee akili Mali ni kitu gani?
wazee wa carolitePappy Tshishimbi Muthu ya Kazi.
Enzi hizi namba 7 ilipata ngoma ya ukayeCelestine Sikinde Mbunga
Afadhali hata zamoyoniMethod Mogella "Fundi" alizichezea klabu zote kubwa nchini Simba na Yanga lkn aliishi muda mfupi na kufariki akiwa kijana mdogo tu.
Vv
Simba waliiiua pamba maana hawa jamaa walitoka pamba ya mwanza na kabla ya hapo wakitoka mwadui wengi waoR.I.P Said (Kizota)
====
Mimi 'shabiki' wa Yanga, ila kuna beki ya Simba anaitwa George Magere Masatu. Alikuwa mwiba ukizingatia umbo lake la mwili.
Hivi labda niulize kwanini hao mnaowataja hawakwenda kucheza soka la kulipwa? Au hakukuwa na soka la kulipwa?
Sunday Manara
MBWANA SAMATTATangu tupate Uhuru kumekuwa na wachezaji wengi mahiri wa soka..Je katika wote hao unadhani ni mchezaji yupi anafaa kupewa tuzo ya mchezaji bora wa kitanzania wa wakati wote..
Mimi kwa maoni yangu mimi mchezaji bora wa mpira wa miguu wa wakati wote wa Kitanzania ni Said Mwamba Nassoro " Kizota ".Mdau wewe kwa maoni yako unadhani nani anafaa..Je unadhani Tanzania tumewahi kuwa na mchezaji wa kariba ya Said Mwamba Kizota?
Kama nakufahamu vileHaruna moshi shabani kadiba