The best Tanzanian Football Player of All the Time

The best Tanzanian Football Player of All the Time

Haya mambo yanahitaji elimu, shibe, kuamini tunaweza na kutaka haswa, sina uhakika kama tunaweza..
 
Tuwekee picha ya Said Mwamba Kizota plz

Mwamba
Screenshot_20180517-184317.jpg
 
Tangu tupate Uhuru kumekuwa na wachezaji wengi mahiri wa soka..Je katika wote hao unadhani ni mchezaji yupi anafaa kupewa tuzo ya mchezaji bora wa kitanzania wa wakati wote..

Mimi kwa maoni yangu mimi mchezaji bora wa mpira wa miguu wa wakati wote wa Kitanzania ni Said Mwamba Nassoro " Kizota ".Mdau wewe kwa maoni yako unadhani nani anafaa..Je unadhani Tanzania tumewahi kuwa na mchezaji wa kariba ya Said Mwamba Kizota?

Mimi nawafahamu wachzaji wanne ambao kwa maoni yangu kiwango chao kilikuwa cha juu...pengine walistahili kutokuwa Watanzania kwa kiwango chao...

1..Sunday Manara
2. Zamoyoni Mogela
3. Hamis Thobias Gaga
4. Maulid Dilunga
 
Nakubali huyu jamaa akikuwa noma hakuchuja mpaka amekuja kuacha soka

Alikuwa beki mtata kinoma kizota akishika mikoba kupita ilikua mbinde .

Baadaye akahamisha majeshi na kucheza kama striker namba 9 yaani ukisikia timu yake imefunga mwamba amecheza na asifunge halikuwa jambo jepesi

RIP kizota
 
Mngetusaidia kwa kutia vigezo nnavyotumia kusema fulani ni zaidi badala ya kujaza majina tu
 
R.I.P Said (Kizota)
====
Mimi 'shabiki' wa Yanga, ila kuna beki ya Simba anaitwa George Magere Masatu. Alikuwa mwiba ukizingatia umbo lake la mwili.
Simba waliiiua pamba maana hawa jamaa walitoka pamba ya mwanza na kabla ya hapo wakitoka mwadui wengi wao

Akina Hussein masha , Niko bambaga, madaraka Suleiman, waliifunga 11 goals timu ya shelisheli
 
Hivi labda niulize kwanini hao mnaowataja hawakwenda kucheza soka la kulipwa? Au hakukuwa na soka la kulipwa?

Sunday Manara (kompyuta), alicheza Uholazi, USA, Australia na Dubai kuanzia 1978 hadi 1984.
 
MBWANA SA
Tangu tupate Uhuru kumekuwa na wachezaji wengi mahiri wa soka..Je katika wote hao unadhani ni mchezaji yupi anafaa kupewa tuzo ya mchezaji bora wa kitanzania wa wakati wote..

Mimi kwa maoni yangu mimi mchezaji bora wa mpira wa miguu wa wakati wote wa Kitanzania ni Said Mwamba Nassoro " Kizota ".Mdau wewe kwa maoni yako unadhani nani anafaa..Je unadhani Tanzania tumewahi kuwa na mchezaji wa kariba ya Said Mwamba Kizota?
MBWANA SAMATTA
 
Back
Top Bottom