Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
St. Augustine University of Tanzania is the best university in town, the best university inTanzania and the best university in the world at large
you are luck to be here
"We are Building The City Of GOD"
Kama ni hivyo basi fanya hivi, mpige madongo yeye erick binafsi na sio SAUT
Unapoint zaidi ya nane yaani ii.10? kwa division hii shule kama taboraboys,mzumbe,ilboru umefeli kabisaa
cut of point siyo point.sijasema nashindana na ilboru.ila nakupa taarifa tu kwamba chuo chako si kwamba ndiyo bora kuliko vingne.ni bora ungesema vpo sawa au ubora upo kwa mtu mwenyewe.pia ukasema vyuo nlivyovitaja wana chukua point ndogo had three za 15 nkakwambia unauhakika?mbna wa mwisho aliechukuliwa ana 4.5?pamoja kaka
Nakupinga vikali mleta mada
Nazungumzia miaka yetu sisi unakuta i.70, ii.30 ii.20 iv.0
okeey,nimekupata
unapinga sahz? ukuona tangu mwanzo?
Nakupinga vikali mleta mada
mawazo ya mtu hayapingwi.. Ka vipi na wewe toa mawazo yakoNakupinga vikali mleta mada
nakuachia usukani,mimi na dan tunajiondoa.
mawazo ya mtu hayapingwi.. Ka vipi na wewe toa mawazo yako
sema unajitoa sio umhusishe na dan
hebu tuambie unasoma nini kwanza,maana dume zima mara unasoma bachelor ya conflict resolution
jipe moyo na wewe wa TEKU,
haya sawa walewale 2.5 sibishani na 3 za 15
Wewe unangapi mkuu ?
sasa kaka Mzumbe,,UDOM navyo vyuo? Vyuo cutt off point 2.5 kama UDOM uvilinganishe na chuo cha cutt off point 4.5 kaka hicho mzumbe cutt off point 4 sasa kipi bora?
anazingua huyu,amezingua baba yangu yupo kijijini hajui hata kuandika,sikutaka yafikie haya ila imenibidi,sorry guys najua nimekosea
kwani nikibebwa na divinity we inakuuma nini...
Mademu wenye nyodo kama wewe ndo huwa nagonga boom likiwakatia
ach ujing wew si mseminari