the best UNIVERSITY in TANZANIA

the best UNIVERSITY in TANZANIA

Status
Not open for further replies.
St. Augustine University of Tanzania is the best university in town, the best university inTanzania and the best university in the world at large
you are luck to be here

"We are Building The City Of GOD"

Nakupinga vikali mleta mada
 
Unapoint zaidi ya nane yaani ii.10? kwa division hii shule kama taboraboys,mzumbe,ilboru umefeli kabisaa

cut of point siyo point.sijasema nashindana na ilboru.ila nakupa taarifa tu kwamba chuo chako si kwamba ndiyo bora kuliko vingne.ni bora ungesema vpo sawa au ubora upo kwa mtu mwenyewe.pia ukasema vyuo nlivyovitaja wana chukua point ndogo had three za 15 nkakwambia unauhakika?mbna wa mwisho aliechukuliwa ana 4.5?pamoja kaka
 
sasa kaka Mzumbe,,UDOM navyo vyuo? Vyuo cutt off point 2.5 kama UDOM uvilinganishe na chuo cha cutt off point 4.5 kaka hicho mzumbe cutt off point 4 sasa kipi bora?

ubora wa chuo unapimwa kwa cutt off point nauliza? !! kwa hiyo nikianzisha chuo changu "mpigamsuli university" ,nisipo chukua one , chuo kitakuwa hovyo/kibovu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom