INAUZWA The best world perfume

INAUZWA The best world perfume

Kuna kaushamba flani hivi kwa waafrica kuamini kuwa kitu kinachouzwa bei ghali ndo kizuri!!
Ukitaka kuwapata fanya hivi
Nenda China kanunue perfume ambayo ukija kuuza kwa bongo hata 30,000 bado utapata faida afu we itangaze kuwa inauzwa laki 8 kisha baada ya mda tangaza sale kuwa sasa unauza kwa 250,000/= ila ni ofa ya mwezi mmoja tu then itarudi kwenye 800,000/=
Utauza mpaka za store!!
Kwani unanunua kitu bila kutext
 
ya diamond aliompelekea zari kama zawadi ipo wapi
 
POSSES PERFUME (Man)

Price ni 119,000tsh kwa mawasiliano whatsapp /text me 0759827138
images-31.jpeg
 
BODY LOTION
POSSES,LOVE&DIVINE PERFUMED BODY CREAMS
√Oriflame tuna perfume za kike nzuri sana moja wapo ni
love potion,divine na posses
Hizi perfume kama majina yke yalivyo ni nzuri sana
√kampuni kwa kutujali ikatengeneza body cream zinazonukia sawa na hizi perfume,
Kwahiyo ukitaka kunukia zaid tumia hiz perfumed body creams,
√ukiachana na harufu zinalainisha na kuupa mwili rangi moja
Na uapendeza ukinukia,
√POSSESS BODY
Do you want to posses him ummiliki kabisa maana harufu yake ni nzuri itamfanya kuwa karibu nawe kil wakati wadada na wamama musiikose hii
√LOVE POTION
Itakusaidia kueleza hisia bila maneno kwa umpendae ni nzuri sana,
√DIVINE CREAM
harufu yake imepoa na ni nzuri
Itakutuliza stress huku ukinukia si unajua harufu ya dawa ya kurelax
Harufu nzuri hata kama unastress zinaisha
JIPATIE YAKO SASA
BEI YAKE NI TSH.32,000tsh
KILA MOJA
KWA MAWASILIANO 0759827138 whatsapp/text
images-55.jpeg
images-52.jpeg
images-60.jpeg
 
Back
Top Bottom