The big conversation ya RMS Kenya

The big conversation ya RMS Kenya

ushashi

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
375
Reaction score
518
Nimefatilia mjadala kuhusu finance bill ulioletwa na Royal media Services Kenya , daa wakenya wako na Hali ngumu sana kimaisha hasa kwenye eneo la chakula. Wengi wanalalamikia ugumu wa maisha, bei ya chakula, Kodi kubwa Kila mahali, Kwa ujumla ongezeko kubwa la mfumuko wa bei. Swali langu najiuliza Kwa wakenya ni hili

1: When did your government ever gave you food on your table and when will it ever be?
2: Where does the government work to get money?
3: Between the common mwananchi and the government who pays who?
4: Is this finance bill only have negative part that RMS are discussing.?
5: Which percentage does the government of Kenya charge on VAT generally?

Kenyans only to answer wabongo tulieni kidogo.
 
Weka hiyo finance bill hapa watu wasome.
 
Huwa nanunua sana Magazeti ya Kenya ila sio ya Tanzania, huwa natazama Tv za Kenya ila sio za Tanzania.

Kwa wanao komaaa na Tv za Bongo basi mna roho ngumu sana, mimi nisha acha kutambo sana.

Hayo magazeti ndio sitaki kuyaona kabisa na lazoma uwe mjinga sana ili uweze kununua magazeti ya Tanzania yaani laziama uwe mjinga hasa.
karibu sana ndugu. wafahamishe wenzako pia
 
Back
Top Bottom