FBI wanatumika na Beberu Reddington😂😂Nimeiangalia muda kidogo hii kitu.Raymond anawajua kucheza na FBI,wahuni na serikali kwa ujumla.
BB?My favorite TV series list.. Updated
- GOT
- Blacklist
- PB
- 24
Hiyo ambae ataitizama na asiipende atakua na lake jambo. Series nilizopata kuangalia marambilimbili niBB?
Hukuipenda?
Vigezo navyotumia ni kua series ambayo nikikaa natamani kuangalia baadhi ya episode au series nzima. Ila BB bado haijanishawishi kuirudia. Ila nakubali BB in uhalisia mkubwa sana na akili ilitumika kutengeneza salute kwake Vince GilganBB?
Hukuipenda?
Iris vipi hujaicheki?My favorite TV series list.. Updated
- GOT
- Blacklist
- PB
- 24
Matata sana hii mzeee, usirogwe ukaingia anga zake utayambaa. Kumbe inaendelea niishia season 7 tuuuHabari....[emoji112]
Nilikua sijawahi kuifuatilia hii series, nilipoicheki tu looh nimenogewa. Imebidi niwe naangalia episode moja moja ili nisiwahi kuimaliza na nishakusanya Season 1-7 so sina wasiwasi. Salute kwake Jon Bokenkemp kwa kutengeneza series hiii. Naona ilikua ishasitishwa ila wadau wamelazimisha kitu kiendelee kuwepo....Now ipo season 8 hope itafika season 10.
Series inamuhusu Mshua fulani anaitwa Raymond "Red" Reddington...Mzee mmoja smart sana afu mastermind and well informed. Not just well informed guy but also anafahamu watu wengi na anafahamu vitu vingi.
Kama hujaicheki itafute[emoji3577][emoji3577]
Kwa
Kabisa aisee connection ni muhimu sana..afu mzee baba anakuambia hua kmaa ni kuonana na mtu anakutna nae face to face ili amjue vizuri. Ila siamini kama kuna mtu ana infos kama alizonazo mzee baba Red. Kila jambazi anamjua.Kifupi inatufundisha tuwe na connection ya kutosha ndani na nje ya nchi connection hiyo inatumika kusolve hili na lile ambalo linaweza kujitokeza bila wewe kutegemea. Kwa ujumla tuwekeze kwenye rasilimali watu.
Kwa sasa mimi nipo na the oval naiona series fulani yenye kitu cha tofauti.
Namna ambavyo kuna maisha halisi ndani ya ikulu na yale maisha tunayo oneshwa lqenye tv
Umewahi kufikiri raisi anaingizaje michepuko ikulu akisaidiwa na walinzi wale? Umewahi fikiria ni namna gani watoto wa raisi wanatoka nje ya ikulu kwenda kwa wapenzi wao wa zamani kabla hawajaingia ikulu? ni aeries fulani ukiianza huwezi taamani kuiacha
Kwanza jamaa anajiamini sanaaaa Kwenye mishe zake nashangaa mnaomsifia proffesor wakati akipigwa tukio kidogo anatetemeka balaaMatata sana hii mzeee, usirogwe ukaingia anga zake utayambaa. Kumbe inaendelea niishia season 7 tuuu
Yule mzee wangu. Hakuna jambo lolote duniani asilo jua hakunaKabisa aisee connection ni muhimu sana..afu mzee baba anakuambia hua kmaa ni kuonana na mtu anakutna nae face to face ili amjue vizuri. Ila siamini kama kuna mtu ana infos kama alizonazo mzee baba Red. Kila jambazi anamjua.
Thanks for Recommendation nitaitafuta hiyo
Kifupi inatufundisha tuwe na connection ya kutosha ndani na nje ya nchi connection hiyo inatumika kusolve hili na lile ambalo linaweza kujitokeza bila wewe kutegemea. Kwa ujumla tuwekeze kwenye rasilimali watu.
Kwa sasa mimi nipo na the oval naiona series fulani yenye kitu cha tofauti.
Namna ambavyo kuna maisha halisi ndani ya ikulu na yale maisha tunayo oneshwa lqenye tv
Umewahi kufikiri raisi anaingizaje michepuko ikulu akisaidiwa na walinzi wale? Umewahi fikiria ni namna gani watoto wa raisi wanatoka nje ya ikulu kwenda kwa wapenzi wao wa zamani kabla hawajaingia ikulu? ni aeries fulani ukiianza huwezi taamani kuiacha
Yaani hadi vibaka anawajua.. uzuri wake anakula pote kwa majambazi na mapolisi. Ila majambazi ndio humpenda zaidi kumbe jamaa anawatumia kwa manufaa yake..afu anakuambia hawezi kufanya kitu asicho na faida nacho.Yule mzee wangu. Hakuna jambo lolote duniani asilo jua hakuna
Mzeee hataniii yaani. Ukizingua from know where anakuibukia yaani. Mzeee mwenye mfumo wake wa mawasiliano usio ingiliwa na yeyote,Kwanza jamaa anajiamini sanaaaa Kwenye mishe zake nashangaa mnaomsifia proffesor wakati akipigwa tukio kidogo anatetemeka balaa
Mzee hataki urafiki wa ki ndezi ndezi, rafiki zake wote ni kwajili ya kazi maalumYaani hadi vibaka anawajua.. uzuri wake anakula pote kwa majambazi na mapolisi. Ila majambazi ndio humpenda zaidi kumbe jamaa anawatumia kwa manufaa yake..afu anakuambia hawezi kufanya kitu asicho na faida nacho.
Nimegundua kila anachofanya anafanya ili kumlinda mtoto wake Lizzy