The Blacklist series

The Blacklist series

Reddington ni kachero. Ni afisa-kipenyo mwenye "deep cover".

Hata FBI wameshindwa kumbaini Reddington ni nani hasa!

Ana mtandao wa wahalifu ambao pia wako ndani ya system ya ukachero.

It is like a "deep state" kind of a criminal racket.

Miujiza mitupu. Confusion.
 
Yaani hadi vibaka anawajua.. uzuri wake anakula pote kwa majambazi na mapolisi. Ila majambazi ndio humpenda zaidi kumbe jamaa anawatumia kwa manufaa yake..afu anakuambia hawezi kufanya kitu asicho na faida nacho.
Nimegundua kila anachofanya anafanya ili kumlinda mtoto wake Lizzy
Kachero wa deep state huyo!

Ana mtandao mrefu kuanzia CIA mpaka kwenye magenge yote ya wahalifu.

Hata wale wahalifu nao ni makachero pia ambao wana cover isiyojulikana hata kwa intelligence agencies.

Wanatumika kutengeneza silaha za kibaiolojia, viruses, mauaji ya kisiasa, population control, propaganda etc...

Sio wahalifu wa kawaida wale. They are monsters.

Enjoy the show.
 
Kuna ile episode alikaa anakunywa Pomba na Berlin. Wamepiga stori hapo wanamiminiana wacheka pombe ilipomuisha akamuua.. Yaani jaamaa hata uwe best vipi ukiwa target yake lazima akafyeke

Kuna kikosi chake cha kazi Mr Kalpan wa kuokota maiti na kuondoa ushihidi. Kuna yule mzee mfupi anamtumia Kutafuta watu..na yule mzee mgonjwa anatembea na oksijeni anamtumia kutesea watu ili kuExtract Infos
Mzeee hataniii yaani. Ukizingua from know where anakuibukia yaani. Mzeee mwenye mfumo wake wa mawasiliano usio ingiliwa na yeyote,

Kwa pembeni ana Jembe lake dembe
 
Reddington ni kachero. Ni afisa-kipenyo mwenye "deep cover".

Hata FBI wameshindwa kumbaini Reddington ni nani hasa!

Ana mtandao wa wahalifu ambao pia wako ndani ya system ya ukachero.

It is like a "deep state" kind of a criminal racket.

Miujiza mitupu. Confusion.
Sure, mtu anae weza m blackmail hadi rais wa nchi, sio mtu mdogo.

Ila nimejifunza katika maisha yoyote yale kila mtu ana weaknesses yake, ambayo ukiguswa hapo lazima uwe mpolee tuuu.

Ndio maanaaa hata hapa nchi ya CHATOO unaweza shanga anatokea kiongozi shupavuu kweli kweli ila anakuja badilika hadi mna baki shangaaa. (Jiwe na rostam )[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna ile episode alikaa anakunywa Pomba na Berlin. Wamepiga stori hapo wanamiminiana wacheka pombe ilipomuisha akamuua.. Yaani jaamaa hata uwe best vipi ukiwa target yake lazima akafyeke

Kuna kikosi chake cha kazi Mr Kalpan wa kuokota maiti na kuondoa ushihidi. Kuna yule mzee mfupi anamtumia Kutafuta watu..na yule mzee mgonjwa anatembea na oksijeni anamtumia kutesea watu ili kuExtract Infos
Yule bibi mfuta nyanyo alivyo kuja mgeuka nilichoka kabisaaa[emoji3][emoji3][emoji3].

Pamoja na kujua kua bibi ndio mficha siri mkubwaaa ila bado alipo yakanyaga tuuu ikala kwake mazimaaa
 
Kachero wa deep state huyo!

Ana mtandao mrefu kuanzia CIA mpaka kwenye magenge yote ya wahalifu.

Hata wale wahalifu nao ni makachero pia ambao wana cover isiyojulikana hata kwa intelligence agencies.

Wanatumika kutengeneza silaha za kibaiolojia, viruses, mauaji ya kisiasa, population control, propaganda etc...

Sio wahalifu wa kawaida wale. They are monsters.

Enjoy the show.
Dakika moja anakuchekea dakika nyingine anakuua...Yaani anafurahisha sana mzee baba.
Kiukweli maisha anayoishi huyu jamaa mimi siyawezi yaani huishi hata kwa amani kila mtu anamuwinda..
Nafurahigi anavyowacheka walipa kodi kwakua yeye hua halipi.

Ila huyu jamaa anautu na fadhila kwa watu wema. Ndio nachapenda kwake
 
Yule bibi mfuta nyanyo alivyo kuja mgeuka nilichoka kabisaaa[emoji3][emoji3][emoji3].

Pamoja na kujua kua bibi ndio mficha siri mkubwaaa ila bado alipo yakanyaga tuuu ikala kwake mazimaaa
Spoiler Alert...mimi sijafika huko kabisa.
Duuh hivi ni season ya ngapi. Naona mzee alikua disappointed sana kwa hilo. Ila napenda Loyalty ya Dembe kwa Red...bora afe kumlinda Red.
 
Sure, mtu anae weza m blackmail hadi rais wa nchi, sio mtu mdogo.

Ila nimejifunza katika maisha yoyote yale kila mtu ana weaknesses yake, ambayo ukiguswa hapo lazima uwe mpolee tuuu.

Ndio maanaaa hata hapa nchi ya CHATOO unaweza shanga anatokea kiongozi shupavuu kweli kweli ila anakuja badilika hadi mna baki shangaaa. (Jiwe na rostam )[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimekuja kugundua hata hawa marais ni watu wadogo sana ndani ya mfumo. Ni vimelea viduchu tu.

Mifumo ni very powerful. Anyone can be anything.

Mambo ni utata.
 
Sure, mtu anae weza m blackmail hadi rais wa nchi, sio mtu mdogo.

Ila nimejifunza katika maisha yoyote yale kila mtu ana weaknesses yake, ambayo ukiguswa hapo lazima uwe mpolee tuuu.

Ndio maanaaa hata hapa nchi ya CHATOO unaweza shanga anatokea kiongozi shupavuu kweli kweli ila anakuja badilika hadi mna baki shangaaa. (Jiwe na rostam )[emoji3][emoji3][emoji3]
Hata mzee Red alikua na weakness yake asee japo alijitahidi kuficha. Lizzy ulikua mwiba mchungu kwa Red ndio maana alikua anataka awadedishe fasta watu walio kwenye list yake kupitia FBI ili aishi vizuri.

Ila mimi siwezi kua kachero asee..nina wengi ninao wajali.
 
Naona uneweka picha ya mzee James spader kabisa. Hafu alinichezea kama Villain Kwenye muvi ya Avanger Age of Ultron. Basi ndio moja kati ya Villain nayemkubali. Napenda sana sauti yake na Quote zake

Nampenda sana huyu mzee, the black list inafundisha mambo mengi sana sana ukiifuatilia, kikubwa kabisa ni unapokuwa na connections za kutosha— kila kitu kinawezekana
 
Habari....👋

Nilikua sijawahi kuifuatilia hii series, nilipoicheki tu looh nimenogewa. Imebidi niwe naangalia episode moja moja ili nisiwahi kuimaliza na nishakusanya Season 1-7 so sina wasiwasi. Salute kwake Jon Bokenkemp kwa kutengeneza series hiii. Naona ilikua ishasitishwa ila wadau wamelazimisha kitu kiendelee kuwepo....Now ipo season 8 hope itafika season 10.

Series inamuhusu Mshua fulani anaitwa Raymond "Red" Reddington...Mzee mmoja smart sana afu mastermind and well informed. Not just well informed guy but also anafahamu watu wengi na anafahamu vitu vingi.
Kama hujaicheki itafute✌️✌️
Kwa
Tusogezee episode zake humu ndani.
 
Habari....[emoji112]

Nilikua sijawahi kuifuatilia hii series, nilipoicheki tu looh nimenogewa. Imebidi niwe naangalia episode moja moja ili nisiwahi kuimaliza na nishakusanya Season 1-7 so sina wasiwasi. Salute kwake Jon Bokenkemp kwa kutengeneza series hiii. Naona ilikua ishasitishwa ila wadau wamelazimisha kitu kiendelee kuwepo....Now ipo season 8 hope itafika season 10.

Series inamuhusu Mshua fulani anaitwa Raymond "Red" Reddington...Mzee mmoja smart sana afu mastermind and well informed. Not just well informed guy but also anafahamu watu wengi na anafahamu vitu vingi.
Kama hujaicheki itafute[emoji3577][emoji3577]
Kwa
Kama unapenda historical angalia hizi
1.Vikings
2.Last Kingdom
 
Series inamuhusu Mshua fulani anaitwa Raymond "Red" Reddington...Mzee mmoja smart sana afu mastermind and well informed. Not just well informed guy but also anafahamu watu wengi na anafahamu vitu vingi.
Raymond reddington hana utofauti na starring wa kihindi, nyimbo zote nzuri anaimba yeye.
duniani hakuna mwanadamu mfano wa reddington na hatojitokeza mwenye sifa hizo.

nimeishia season 4.
 
Spoiler Alert...mimi sijafika huko kabisa.
Duuh hivi ni season ya ngapi. Naona mzee alikua disappointed sana kwa hilo. Ila napenda Loyalty ya Dembe kwa Red...bora afe kumlinda Red.
Nadhani ni season ya 4/5 hivi
 
Hahhaaa wewe jamaa bana..Ila hata mimi sidhani kama kuna kiumbe mwenye connection kama Reddington. Anajua vitu vingi hadi anaboa.
Kwanini umeishia season hiyo??
  1. sababu kubwa ni uraibu wa kutaka kuendelea kuiangalia kila mara.
  2. kuanzia episode 13 nilishindwa kuzipata kwenye channel moja iliopo telegram hatimaye nikaamua kuachana nayo kwa muda usiojulikana
  3. nilichoshwa na mauaji yake, teh teh teh
 
Back
Top Bottom