The Blacklist series

Naikubali sana hiyo series...Inaonekana uko season za mwanzo mwanzo...Season 7 anaingia mama yake Elizabeth Keen (Katarina Rostova) hapo Reddington anakutana na criminal mastermind mwingine hatari sana...Season 8 nimeangalia hadi episode 3...Elizabeth anamsaka Reddington amuue...Nisisimulie sana nisije nikakupotezea mzuka wa kuiangalia.
 

Lizzy ni mwanae??
 

Tusimulie bana
Hakuna movie naipenda kama blacklist
 
  1. sababu kubwa ni uraibu wa kutaka kuendelea kuiangalia kila mara.
  2. kuanzia episode 13 nilishindwa kuzipata kwenye channel moja iliopo telegram hatimaye nikaamua kuachana nayo kwa muda usiojulikana
  3. nilichoshwa na mauaji yake, teh teh teh
Na kweli ina addiction sana mimi ila najitahidi kuangalia taratibu ili isiishe haraka. Ila Ray alifanyaje kupata connection zote hizo???
Natamani kweli kufata nyayo zake ila communication skills zangu kikwazo
 
Kwa walioitazama Suits, kuna kichwa kimoja kinaitwa Louis Litt mimi ndio kanifanya niifatilie hii series

Mmh mkuu Louis na ule uchale chale wake ulimpendea anavyochekesha kujaribu kumuOutsmart Harvey au ?
Otherwise mi ananchekesha tu anavyofeligi mission 9 na kufanikiwa moja... anyway ana huruma tofauti na lawyers wengine
 

Yaah Litt yuko very loyal, anakua kama mtoto sometimes... Ye anachotaka ni recognition tu especially kutoka kwa harvey na Jesica..

Sio shoga mambo yake tu yale[emoji23][emoji23], mara aende sauna halafu anajiachia tu uchi uchi[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…