The Blacklist series

Raymond reddington hana utofauti na starring wa kihindi, nyimbo zote nzuri anaimba yeye.
duniani hakuna mwanadamu mfano wa reddington na hatojitokeza mwenye sifa hizo.

nimeishia season 4.

Hii ilinifanya nikashindwa kuendelea nayo maana najua hafeli kitu.
 
Raymond Reddinton mnyama kabisa,... ndo kanifanya niirudie na kurudia tena na tena kwenye hili movie.
 
😀😀😀😀

Kumbe unakumbuka eeh ndio uache kufutafuta mi hata sipendi.

Hizo ulizotaja ni za house girls aisee mimi siwezi kupoteza muda wangu huko nafuatilia tu vitu vyenye akili mingi.
Kwahiyo ndio ukaniombea ban?? Mungu atalipa
 
Sijui mnaipendea nini
Mi iliniboa nikaishia njiani..

kwny intelligence shows hii bado sana irudi shule ikasome.,
Kuna vitu kwa mfano; StrikeBack na Tom Clancys' Jack Ryan
 
Sijui mnaipendea nini
Mi iliniboa nikaishia njiani..

kwny intelligence shows hii bado sana irudi shule ikasome.,
Kuna vitu kwa mfano; StrikeBack na Tom Clancys' Jack Ryan
Jamani hivi Jack Ryan inaukali gani kushinda Blacklist???
Jack Ryan labda uilinganishe na The Brave,Missing au Intelligence.
Blacklist ni mastermind/Intelligence series sio operation series kama ulizotaja
 
Hii series sometimes inaboa..
Huyu jamaa alikuwa kwenye series ya zamani inaitwa Boston legal....ilikuwa series nzuri sana..

Hii production co yao Wana toaga series nzuri sana..

Inaboa wapi?
 
Sijui mnaipendea nini
Mi iliniboa nikaishia njiani..

kwny intelligence shows hii bado sana irudi shule ikasome.,
Kuna vitu kwa mfano; StrikeBack na Tom Clancys' Jack Ryan

Wewe uko kama mimi, hiyo Blacklist ilinishinda nikaitupilia mbali..
Kuna tv shows hata ukizirudia hazichoahi kama Homeland na The Americans, now nairudia The Americans nipo season 1
 
Kwasisi ambao kuangalia mangono ngono mda wote sio priority yetu

Basi blacklist,nikita,money heist,24,ozark,the most dangerous game,fugitive ndo season zetu tunazopenda

Ni mwendo wa kusisimka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…