Series au muvi ikiwa na ngono ua siangalii kabisa.Kwasisi ambao kuangalia mangono ngono mda wote sio priority yetu
Basi blacklist,nikita,money heist,24,ozark,the most dangerous game,fugitive ndo season zetu tunazopenda
Ni mwendo wa kusisimka tu
ebo! wengine hapa tuna arosto kusubiri hiyo s05 hola! walitangaza kuirelease october mwaka jana, ila kimya.Inaboa balaaaa Yaan wapo ndani ya jumba tu
Wakorea washenzi wale.sikuwahi ona muendelezo ila ni copy n paste ya 24Iris vipi hujaicheki?
naombaa list ya hizo series ndugu yangu zenye msisimko haswaaa plsss😃😃Kwasisi ambao kuangalia mangono ngono mda wote sio priority yetu
Basi blacklist,nikita,money heist,24,ozark,the most dangerous game,fugitive ndo season zetu tunazopenda
Ni mwendo wa kusisimka tu
ok boss pls do it 😊 naombaa nitajiee zile zenyewe zenyewe yaan👌Kama unatumia netflix I csn recommend you...
HomelandAaaaaaaaaaCha kabisa hio series sioni movie ya kuishinda
Series pekee ambayo sterling anafeli na kufa kabisa tena huwezi kutabiri lolote ni GOT
Na kwa hili wamezidisha chumvi nying..u cant be that much informed..Yan kila info is availabke in ur finger tip..not true ila namkubal sana jamaaYule mzee wangu. Hakuna jambo lolote duniani asilo jua hakuna
Alieangalia Silo anisomulie kule nje kuna nini???
Kwanin hawataki wajue ukweli kuhusu nje??na mbona julieth hakufuta screen na je nje kuna sumu??mbona ile miili ya Sherrif na mkewe pale nje haipo juliet hakuionaSasa si ndo utamu wa series , kifupi ile silo ni moja tu kati ya nyingine zaidi ya 50.
Then kule nje hamna maisha bado, ule ukijani uliokuwa unaonekana mtu akienda kuclean ni trick tu za IT department, hata Julieth walivyomtoa nje kwa ujanja ujanja akajikuta kwenye Silo nyingine ambayo ilikufa miaka kadhaa nyuma.