The Blacklist series

The Blacklist series

Kwasisi ambao kuangalia mangono ngono mda wote sio priority yetu

Basi blacklist,nikita,money heist,24,ozark,the most dangerous game,fugitive ndo season zetu tunazopenda

Ni mwendo wa kusisimka tu
Series au muvi ikiwa na ngono ua siangalii kabisa.
 
Nimemiss series yangu pendwa, so long sijaitazama
 
nachokipendea kwenye hii series ina kuchota akili unatamani uwe na connection alizonazo mr reddicton

kingine huyu jamaa ata upotee vipi anajua machimbo ya kukupata

kingine huyujaama ni mtu wa madeal sana kwenye s2 wale jamaa wa bomba la mafuta alivyo wachomoa deal akachukua yeye [emoji2][emoji2]

images%20(1).jpg
 
Kwasisi ambao kuangalia mangono ngono mda wote sio priority yetu

Basi blacklist,nikita,money heist,24,ozark,the most dangerous game,fugitive ndo season zetu tunazopenda

Ni mwendo wa kusisimka tu
naombaa list ya hizo series ndugu yangu zenye msisimko haswaaa plsss😃😃
 
Alieangalia Silo anisomulie kule nje kuna nini???
 
Alieangalia Silo anisomulie kule nje kuna nini???

Sasa si ndo utamu wa series , kifupi ile silo ni moja tu kati ya nyingine zaidi ya 50.
Then kule nje hamna maisha bado, ule ukijani uliokuwa unaonekana mtu akienda kuclean ni trick tu za IT department, hata Julieth walivyomtoa nje kwa ujanja ujanja akajikuta kwenye Silo nyingine ambayo ilikufa miaka kadhaa nyuma.
 
Kwanin hawataki wajue ukweli kuhusu nje??na mbona julieth hakufuta screen na je nje kuna sumu??mbona ile miili ya Sherrif na mkewe pale nje haipo juliet hakuiona
 
Back
Top Bottom