ZaDah hongera sana na ningependa mahusiano yenu yadumu mpaka babu na bibi
Kabisa kabisa bwana shemela hata mimi naamini mapenzi ya kweli hasa yanaenda hivyoNinachowaambia ni kwamba usikae humu unatafuta mpenzi kama unatafuta sindano umedondosha uvunguvi...
Acha mambo yaitike yenyewe... Mimi na Nifah pia hakuna ambaye kati yetu alikuwa anatafuta mpenzi humu! Kitu kilitokea chenyewe naturally... Na hivyo ndivyo inavyotakiwa!! Ndio maana bond yetu imekuwa strong
Acha mioyo isemezane yenyewe
Zimewahi kutokea 'attempts' kadhaa za kunidukua mtandaoni... Tena nyingi nyingine juzi kati tu hapaTukihamia Engo nyengine je, Ulishawahi kudukuliwa kwenye internet? Kuna njia yoyote maalum unayoitumia kujikinga na udukuzi wa mitandao?
Ujumbe umefika, je,Ninachowaambia ni kwamba usikae humu unatafuta mpenzi kama unatafuta sindano umedondosha uvunguvi...
Acha mambo yaitike yenyewe... Mimi na Nifah pia hakuna ambaye kati yetu alikuwa anatafuta mpenzi humu! Kitu kilitokea chenyewe naturally... Na hivyo ndivyo inavyotakiwa!! Ndio maana bond yetu imekuwa strong
Acha mioyo isemezane yenyewe
Sina mpango wa kujificha, coz hakuna sababu ya kufanya hivyoVile vile unahisi upo salama kiasi hiko unapokuwa mitandaoni?
Alafu watu wengi kiu yetu kubwa ni kukufahamu, unatuahidi nini kuhusu kuweka real identinty,
au utaendelea kujificha nyuma ya keybord milele?
Hahaaaaaaaaaaaa kazi anayo aiseeeeUli
Za
Maswali acha kudeka kidume cha Dar
Bold naweza sema umebarikiwa kipajo kikubwa sana cha utunzi(hongera) na hiko ndicho kilichokufanya mpaka ukatambulika humu kwa kiasi kikubwa.Sina mpango wa kujificha, coz hakuna sababu ya kufanya hivyo
Mfano watu ambao wako kwenye group langu la WhatsApp wananifahamu... Kwa jina na sura
Humu siku si nyingi nitakuwa verified na watu watanifahamu pia
Mimi na Nifah tumekuwa kwenye mahusiano kwa miezi 10 sasa...Ujumbe umefika, je,
unaamini kwenye kile watu wanakiita KUUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA?
Je, unaweza kumnunua mbuzi pasipo kumfunua?
Umejipangaje na matokeo ya baadae endapo utakachokuta sicho ulichodhania, Yaani yaliyomo hayamo..( Nifah fumba macho jamaa atiririke)
WAKUU MMEAMBIWA MSIULIZE MASWALI MPAKA INTERVIEWER AMALIZEIv maswali Yangu ni ya kipuuzi sana mbona sijibiwu?
Big up,..!!Mimi na Nifah tumekuwa kwenye mahusiano kwa miezi 10 sasa...
Najua A-Z kuhusu Nifah
Naye anajua A-Z ya The Bold
Nimeridhika, ameridhika! Tumeridhiana...
Moto wa mihemko hauzuiliwi kwa mikonoNipo hapa namsikiliza Ray C as hubby bae yuko kwenye kiti cha moto.
Ni rrrraaaaaaaah
(Sorry kwa kuingilia interview,ni vile siwezi kujizuia )[emoji85]