Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Shukrani sana chief...Dah kama isingekuwa hii interview sijui tungeyajulia wapi haya mambo...
Hongera sana bold
HahahahaHahaha
Mkuu namshukuru Mungu vile ameniumba... Sidhani kama kuna kosa lolote jinsi ameniumba
Mi naona Bongo safi tu! Kuna mambo kibao yanatia hasira but futafanyaje?? Tanzania ndio mama yetu, tutaenda kila sehemu lakini lazima turudi Bongo
Nadhani wanaonizunguka ndio wana nafasi nzuri zaidi ya kujua udhaifu wangu kuliko mimi mwenyewe
Rejea post #65 kuna swali hujalijibuShukrani sana chief...
Shahada ya kwanza...Okay tungependa kufahamu una elimu ya kiwango gani? Na umesomea fani ya aina gani?
Hahaaa wewe jama mbea sana unajua mm niliona nikapotezea.Mkuu ujue mpaka sasa sijaamini wewe ndio umeandika hayo maneno *kipajo* nk
Nipo kaka,naanzaje kubanduka hapa sasa? Narefresh huu uzi kila sekunde kama mwendawazimu [emoji85]Dada nakuona nakuona.,.... Tupo tunasikilizia taratibu na kimya kimya.
Naona jibu limekufurahisha kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu na hiyo Avatar yako nimecheka sana.Mkuu ujue mpaka sasa sijaamini wewe ndio umeandika hayo maneno *kipajo* nk
Nipo kaka,naanzaje kubanduka hapa sasa? Narefresh huu uzi kila sekunde kama mwendawazimu [emoji85]
Yeah,kanifurahisha sana kwakweli. Hadi nimevunja ukimya.
Yes and No...Sawa, ila usisahau tu..
Sasa hebu tujuze
Je kitu ulichokisomea ndicho kinachokusaidia kusumuka maisha? Why??
2006 huu Mwaka nikiwa udsm Mwaka wa kwanzailikuwa ni 2006 niko kidato cha tatu inaitwa "Don't Make Her Cry"..
Kabla hatujahama hebu Tueleze
-Kwamfano ukiambiwa ukadirie thamani ya ID yako ya JF, unahisi itafika kama tsh ngapi hivi?
Je, endapo mtu atafika dau la kiasi fulani, unaweza kuiuza?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu na hiyo Avatar yako nimecheka sana.
Kumbe mzumbe tuko wengi humu[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Shahada ya kwanza...
Uchumi, Mzumbe University
Enhee umejileta mwenyewe...Shahada ya kwanza...
Uchumi, Mzumbe University
Nishawahi kutapeliwa... YesHahahaha
Aisee hivi ulishawahi kuibiwa au kutapeliwa?
Unaweza kushea nasi Ilikuwaje?
-Hivi kuna njia zozote au rules ambazo umeamua kuzifuata ili kukuepusha usiibiwe wala kutapeliwa?