My dear
wiser1 ,kama nikuambiavyo mara nyingi huna kosa lolote...hujawahi kunikosea na wala sikuchukii kabisa.
Wewe mwenyewe ni shahidi mzuri wa hili vile ambavyo tumekuwa tukichitchat ktk threads...hahaha
Ila honestly karoho kalikuwa kananiuma sometimes unavyomsarandia my man heheheeee.
Ila sijawahi kuwa na mashaka kuwa mnaweza kujenga ukaribu maana namuamini sana Bold.
Namuamini sababu Bold ni mwanaume wa kipekee sana,yeye yupogo busy na kazi zake tu MaashAllah,masuala mengine ya kihuni hana kabisa.
Ndio maana nimejituliza kwake,najua fika nikifanya mchezo nikampoteza nitalia na kusaga meno for the rest of my life.
Umejitahidi sana kumchambua Bold,uko sahihi kwa 90%,umekosea umri tu ila ni kijana smart,hasira anazo pia ila ni mpole sana...akikasirika sana hata kuongea hawezi masikini! [emoji24]
Ila ni jeuriiiii,heheheeee hakubali kushindwa na akiamua lake ni hadi afanye.
Kingine ana hisia kali sana,akihisi jambo anaweza kuelezea lilivyo na ikawa kweli,nadhani hii inachangiwa na IQ kubwa aliyonayo.
Thank you wiser1,wishing you best of lucky too darling [emoji8] [emoji136]