Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika mkuu kisha uwe unani tag.Kama hali itaendelea hivi itabidi nianze kuandika makala. Maana hakuna namna.
we wasemaMind yako inakudanganya mkuu
Soma na kumuelewa The bold, utaelewa nilichomaanisha!Sijawahi penda mtu nisiyemjua wala kumwona.sjui hata unaanzaje.kwamfano mtu anamuibukia demu pm ya jf kwa kuvutiwa na jina na avatar yake eti,mnawezaje wenzangu.au mie sina moyo elekezi
Mkuu nlikusoma na nkakuelewa,na wala sina tatizo na mawazo yako,Nlikuwa tu curious watu wanawezaje kufall in love na anonymous pipo mitandaoniSoma na kumuelewa The bold, utaelewa nilichomaanisha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
haha ha haaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu nlikusoma na nkakuelewa,na wala sina tatizo na mawazo yako,Nlikuwa tu curious watu wanawezaje kufall in love na anonymous pipo mitandaoni
We jamaa unamuita malaika mwenzako kilaza?The bold ni kilaza tuu
mbona POVUU! Kaoshee vyomboThe bold ni kilaza tuu
Mkuu achana na hizi dramasRaha sana kusifiwa na warembo
Haaahaaaa....ushimen banaNilimpendaga The bold na bado nampendaga hapo simjui
Kweli nimeamini penzi ni kikohozi...[emoji30][emoji30]
Duhhhh.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]Haaahaaaa....ushimen bana
Nah...unanifurahishaga[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duhhhh.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Naleo nimekukosea tena adabu kwani....[emoji20] [emoji20]
Asanta......Nah...unanifurahishaga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahaNifah ushaona dalili hizooo... Usipouanika utaula mbichi.
AseeMamboooooz
Naimani nyoote mu wazima humu ndani
Nimejaribu kuvumilia siku nyingiiii lkn imeniwia vigumu kutatua swala hili.
kwanza awali ya yote niombe tu msamaha kwa Nifah kwa kujaribu kuingia anga zake na niukweli usiofichika nilimpenda The Bold mda kidogo sema sikuwa na maneno mazuri ya kumueleza aelewe lkn naimani Nifah ni mtu sahihi kwake na nawatakia maisha mema kabisaaa bila hiyana.
Leo nimeamua kuja hapa kutaka kumuelezea The Bold vile anakuwa anajengeka kwa mind yangu.
Sijawah kumuona kabisaa, ila kuna baadhi ya mambo anayoandika na kutunga yananifanya niwe namfikiria huyu mtu ni wanamna gani!
Huwa namfikiria na kuhisi na kumuona kwa mind yangu ni kijana nadhifu sana.
Nikijana mweye umri wa miaka 33, mbunifu,muelewa na mwenye upeo mkubwa wa kufikiri mambo.
Kijana huyu ni mtu asiyekuwa na makuu,mwenye kuchukuwa tahadhari kubwa afanyapo maamuzi.
Ni kijana makini na jasiri asiyekubali kuchezewa hisia zake lkn pia siyekubali kushindwa. Ana hasira kali sana [emoji21] [emoji21] [emoji21] pale inapotokea mtu akimuudhi kwa makusudi na kutaka kumnyang'anya haki yake.
Bado nazidi kumfikiria vizuri, nikijana mwenye umbo la wastani kwa maana si mnee wala mwembamba, hupendelea kuvaa mavazi yatoshayo vyema ktk mwili wake. Si mweusi sanaa na si maji ya kunde wala mweupe! Nadhani utakuwa [emoji102] umeelewa rangi yake ya ngozi ikoje!
Ni kijana anaejua kujituma na kati ya ndoto zake alizokuwa anawaza baada ya kumaliza elimu yake ya juu ni kuhakikisha anaweza kufanya mambo mengi kwa kupangilia ratiba zake ili akifika miaka 35 awe tayari na mke (Nifah) na mtoto mmoja wa kike!
Mtoto wake wa kwanza ambaye ni wakike atampa jina litakalo kuwa na maudhui ya pande mbili, upande wa baba na mama![emoji8] [emoji8] [emoji8]
ooooohhhshhhhh.....duuuh bado namuwaza naweza andika kitabu chenye page 100 kuweza kumaliza namna navyomuona kwa mind yangu kipindi ninapo close my eyes![emoji7] [emoji7]
Ha ha ha ha haaaaaa....the road is so long, i know that but i have to reach the end anyway[emoji85] [emoji85] [emoji85]