The Bold (jasiri nimfikiriae ktk akili yangu)

The Bold (jasiri nimfikiriae ktk akili yangu)

My dear wiser1 ,kama nikuambiavyo mara nyingi huna kosa lolote...hujawahi kunikosea na wala sikuchukii kabisa.
Wewe mwenyewe ni shahidi mzuri wa hili vile ambavyo tumekuwa tukichitchat ktk threads...hahaha

Ila honestly karoho kalikuwa kananiuma sometimes unavyomsarandia my man heheheeee.

Ila sijawahi kuwa na mashaka kuwa mnaweza kujenga ukaribu maana namuamini sana Bold.
Namuamini sababu Bold ni mwanaume wa kipekee sana,yeye yupogo busy na kazi zake tu MaashAllah,masuala mengine ya kihuni hana kabisa.
Ndio maana nimejituliza kwake,najua fika nikifanya mchezo nikampoteza nitalia na kusaga meno for the rest of my life.

Umejitahidi sana kumchambua Bold,uko sahihi kwa 90%,umekosea umri tu ila ni kijana smart,hasira anazo pia ila ni mpole sana...akikasirika sana hata kuongea hawezi masikini! [emoji24]

Ila ni jeuriiiii,heheheeee hakubali kushindwa na akiamua lake ni hadi afanye.
Kingine ana hisia kali sana,akihisi jambo anaweza kuelezea lilivyo na ikawa kweli,nadhani hii inachangiwa na IQ kubwa aliyonayo.

Thank you wiser1,wishing you best of lucky too darling [emoji8] [emoji136]
Wiiii nkajua unaibiwa kidgo nitoe mapovu, kakaang kumbe anapendwa na wengi (Joking ) mai usije ninunia nkakosa zile bites from Zenji bureeeeeeeeeeeeeee
 
Acha wivu Bujibuji bhanaaa...huo ukawaida unaoufikiria ushachemsha!
Nampenda The Bold sana[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

Hivi ww Bujibuji ni babu eeeee maana hilo jina mmmmmh babu tena wa enzi za mwalimu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bujibuji ni babu, tumesoma na Nyerere Mwitongo Middle School
 
Wiiii nkajua unaibiwa kidgo nitoe mapovu, kakaang kumbe anapendwa na wengi (Joking ) mai usije ninunia nkakosa zile bites from Zenji bureeeeeeeeeeeeeee
Hahahaaaaaa siwezi kukununia Wii...
Kakako anapendwa na wengi hadi kitaa ila kama umjuavyo anajielewa.
Ni yeye na Cheupe wake basi [emoji4] [emoji120]
 
Hahahaaaaaa siwezi kukununia Wii...
Kakako anapendwa na wengi hadi kitaa ila kama umjuavyo anajielewa.
Ni yeye na Cheupe wake basi [emoji4] [emoji120]
Haya nipe zawadi sabab tumemlea vzr, mie ndo nlkuwa namfichia wali akichelewa toka misele ujue wiii
 
Acha wivu Bujibuji bhanaaa...huo ukawaida unaoufikiria ushachemsha!
Nampenda The Bold sana[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

Hivi ww Bujibuji ni babu eeeee maana hilo jina mmmmmh babu tena wa enzi za mwalimu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaaaaa uwiiiiiiiii
 
Umesahau ni fundi WA kugegeda pia maana kwenye hadithi zake huwa anasimulia vizuri suala LA kugegedana mpaka unaona kama movie hv na unaweza kudinda.
 
Mamboooooz

Naimani nyoote mu wazima humu ndani

Nimejaribu kuvumilia siku nyingiiii lkn imeniwia vigumu kutatua swala hili.

kwanza awali ya yote niombe tu msamaha kwa Nifah kwa kujaribu kuingia anga zake na niukweli usiofichika nilimpenda The Bold mda kidogo sema sikuwa na maneno mazuri ya kumueleza aelewe lkn naimani Nifah ni mtu sahihi kwake na nawatakia maisha mema kabisaaa bila hiyana.

Leo nimeamua kuja hapa kutaka kumuelezea The Bold vile anakuwa anajengeka kwa mind yangu.

Sijawah kumuona kabisaa, ila kuna baadhi ya mambo anayoandika na kutunga yananifanya niwe namfikiria huyu mtu ni wanamna gani!

Huwa namfikiria na kuhisi na kumuona kwa mind yangu ni kijana nadhifu sana.

Nikijana mweye umri wa miaka 33, mbunifu,muelewa na mwenye upeo mkubwa wa kufikiri mambo.

Kijana huyu ni mtu asiyekuwa na makuu,mwenye kuchukuwa tahadhari kubwa afanyapo maamuzi.

Ni kijana makini na jasiri asiyekubali kuchezewa hisia zake lkn pia siyekubali kushindwa. Ana hasira kali sana [emoji21] [emoji21] [emoji21] pale inapotokea mtu akimuudhi kwa makusudi na kutaka kumnyang'anya haki yake.

Bado nazidi kumfikiria vizuri, nikijana mwenye umbo la wastani kwa maana si mnee wala mwembamba, hupendelea kuvaa mavazi yatoshayo vyema ktk mwili wake. Si mweusi sanaa na si maji ya kunde wala mweupe! Nadhani utakuwa [emoji102] umeelewa rangi yake ya ngozi ikoje!

Ni kijana anaejua kujituma na kati ya ndoto zake alizokuwa anawaza baada ya kumaliza elimu yake ya juu ni kuhakikisha anaweza kufanya mambo mengi kwa kupangilia ratiba zake ili akifika miaka 35 awe tayari na mke (Nifah) na mtoto mmoja wa kike!

Mtoto wake wa kwanza ambaye ni wakike atampa jina litakalo kuwa na maudhui ya pande mbili, upande wa baba na mama![emoji8] [emoji8] [emoji8]

ooooohhhshhhhh.....duuuh bado namuwaza naweza andika kitabu chenye page 100 kuweza kumaliza namna navyomuona kwa mind yangu kipindi ninapo close my eyes![emoji7] [emoji7]

Ha ha ha ha haaaaaa....the road is so long, i know that but i have to reach the end anyway[emoji85] [emoji85] [emoji85]
wiser 1 asante kwa mapenzi haya... Najua wewe ni moja ya supporter wangu mkubwa sana humu JF na ni rafiki mwema sana kwetu Mimi na Nifah

We will see each other on day... Lots of love kwako!

Tunakupenda sana! Thank you..
 
My dear wiser1 ,kama nikuambiavyo mara nyingi huna kosa lolote...hujawahi kunikosea na wala sikuchukii kabisa.
Wewe mwenyewe ni shahidi mzuri wa hili vile ambavyo tumekuwa tukichitchat ktk threads...hahaha

Ila honestly karoho kalikuwa kananiuma sometimes unavyomsarandia my man heheheeee.

Ila sijawahi kuwa na mashaka kuwa mnaweza kujenga ukaribu maana namuamini sana Bold.
Namuamini sababu Bold ni mwanaume wa kipekee sana,yeye yupogo busy na kazi zake tu MaashAllah,masuala mengine ya kihuni hana kabisa.
Ndio maana nimejituliza kwake,najua fika nikifanya mchezo nikampoteza nitalia na kusaga meno for the rest of my life.

Umejitahidi sana kumchambua Bold,uko sahihi kwa 90%,umekosea umri tu ila ni kijana smart,hasira anazo pia ila ni mpole sana...akikasirika sana hata kuongea hawezi masikini! [emoji24]

Ila ni jeuriiiii,heheheeee hakubali kushindwa na akiamua lake ni hadi afanye.
Kingine ana hisia kali sana,akihisi jambo anaweza kuelezea lilivyo na ikawa kweli,nadhani hii inachangiwa na IQ kubwa aliyonayo.

Thank you wiser1,wishing you best of lucky too darling [emoji8] [emoji136]
Moja ka ya vitu najivunia sana kwako soulmate ni hizi hekima zako!

Nimependa sana unavyohandle situation kama hizi... Ndio maana nakupenda zaidi kila kukicha Cheupe wangu
 
Umesahau ni fundi WA kugegeda pia maana kwenye hadithi zake huwa anasimulia vizuri suala LA kugegedana mpaka unaona kama movie hv na unaweza kudinda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumbe ndio maana ulimind alipopigwa ban mkuu?

Kuhusiana na ulichokisema ngoja nikae kimya tu [emoji39] [emoji85]
 
wiser 1 asante kwa mapenzi haya... Najua wewe ni moja ya supporter wangu mkubwa sana humu JF na ni rafiki mwema sana kwetu Mimi na Nifah

We will see each other on day... Lots of love kwako!

Tunakupenda sana! Thank you..
Muone vile unavyosema tutaonana siku moja,ulivyo na aibu utaweza kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haki pamoja na miakili yako yote una aibu sana [emoji12]
 
Moja ka ya vitu najivunia sana kwako soulmate ni hizi hekima zako!

Nimependa sana unavyohandle situation kama hizi... Ndio maana nakupenda zaidi kila kukicha Cheupe wangu
Siku zote huwa nakuambia nitadeal na wewe babe,labda kama mwanamke awe ni mtu wangu wa karibu aiseeee nitamrarua.

Hekima nyingine naibia kwako darling,si unakumbuka vile ambavyo huwa unanishtua ninapoteleza? [emoji85]
 
Back
Top Bottom