The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Hongereni sanaaa
 
Mkuu, unatakiwa umuamini Mungu wako... Sio mimi!!
Unataka uniamini mimi ili iweje??

Muamini Mungu wako, hilo ndilo la muhimu..
Ni kweli mkuu kwa mambo ya kiroho Mungu ndiye wa kumuamini............lakini kwa haya ya Kidunia lazima niseme ukweli inaniwia ugumu saaaaaaaaaaaaaana kukuamini..........mimi mwenyewe huwa natafakari sana juu ya jambo hili.........................!!!!Nakuona kama Mtu wa Fix vile.....................!!!!!
 
Kilala kheri..
 
The bold hata hujui anachokimaanisha, eti Nifah ni mnyenyekevu, mnyenyekevu gani mwenye matusi hadi ya kutia aibu?
Ngoja amweke ndani akatoe makucha ndio atatia adabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Bujibuji katika ubora wako wa kiwango cha lami..

Naheshimu mawazo yako! Shukrani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…