The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Taarifa za kijasusi zinaeleza kuwa huyu ni mtu mmoja na id mbili.



Nimechomekea tuu.



Ila hongereni mapenzi mubashara
 
Kumbe inawezekana kupata mapenzi ya kweli mtandaoni?
Nahitaji a lady mwenye damu ya kiyahudi!
 
Hongereni sana! Tena sana,
As long as mmeamua wenyewe kuwa pamoja basi msitoe nafasi ya mtu yeyote kuwapangia cha kufanya. Long live chief The bold
 
My mind was fooling me that The bold could be as old as early 40's, kumbe kachalii kadogo tu.

Lakini pia nilikuwa natafakari, dada yangu Nifah ata-fall vipi kwa m-baba mkubwa hivyo? Mtoto wa mjini wa Mid 20s achukuliwe na libaba la miaka 40 huko?

Anyway, nawatakia kila la kheri mfikie yote mliyoyapanga.
 
Naimagine the bold siku ya kwanza kukutana nae live uliwaza unakutana na kituko gani?
 
Back
Top Bottom