The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

My mind was fooling me that The bold could be as old as early 40's, kumbe kachalii kadogo tu.

Lakini pia nilikuwa natafakari, dada yangu Nifah ata-fall vipi kwa m-baba mkubwa hivyo? Mtoto wa mjini wa Mid 20s achukuliwe na libaba la miaka 40 huko?

Anyway, nawatakia kila la kheri mfikie yote mliyoyapanga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

The bold ni kachalii tu aisee..
 
Hongera kwenu nyie couple ya ndani ya JF, nakumbuka kumsoma Nifah zamani kuwa ana mume yaani ameolewa.
Hata sasa nafuatwa PM na "wasamalia wema" kunamimbia hayo...

Uzuri ni kwamba, "wasamalia wema" wanamjua Nifah wa kwenye mitandao... Mimi namjua Nifah wa kwenye maisha halisi.!


Shukrani.
 
Bold na Nifah niseme tu nawapenda.... Nyie ni wa kipekee kwa namna ya kipeke yake....

Mzidi kua strong everyday muweze kua mfano mzuri wa kuigwa na kuwatia moyo wengine wapitiao changamoto ya kimahusiano.
Asante sana V.. Unajua vile tunakuoenda pia! Asante kwa kututia moyo siku zote..

We love you sana!!
 
Hata sasa nafuatwa PM na "wasamalia wema" kunamimbia hayo...

Uzuri ni kwamba, "wasamalia wema" wanamjua Nifah wa kwenye mitandao... Mimi namjua Nifah wa kwenye maisha halisi.!


Shukrani.

Kwa hiyo wewe ndie mume wake wa ndoa?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Halafu utakuwa unawaza "Huyu ndio yule Nifah aliyekuwa ananizingua vile? Mbona hafananii?"
Hahaha sio kwa ligi zile aiseee

Wewe nae tumetoka mbali? Basi tu.
teh teh enzi zilee banaaa...

Kwahiyo hapo kwenye red unamaanisha Mkuu The bold angechelewa kidogo tu ungekuta mimi ndio nimekung'oa..
 
Back
Top Bottom