Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna asiyejua kuwa tunazimaga taa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila wewe nae unanifanya hadi naona aibu! Ndio nini kusema mambo ya kuzima taa? [emoji85]
Asante sana comrade..hongereni sana....mwenyezi Mungu awabariki....awalinde usiku na mchana...awaepushe na maadui...aongeze furaha na amani katika mahusiano yenu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]My mind was fooling me that The bold could be as old as early 40's, kumbe kachalii kadogo tu.
Lakini pia nilikuwa natafakari, dada yangu Nifah ata-fall vipi kwa m-baba mkubwa hivyo? Mtoto wa mjini wa Mid 20s achukuliwe na libaba la miaka 40 huko?
Anyway, nawatakia kila la kheri mfikie yote mliyoyapanga.
Miss u more my young sisy..this is sweet mtunze sana shemeji yangu kuna mafanikio makubwa sana mahali palipo na upendo!! Let love lead dearsAwwwwwww asante sana mpenzi wangu Ayanda,I miss you mama.
Pamoja sana brother.. ShukraniMungu awatangulie katika kutimiza ndoto yenu ya kuwa mke na mme.
Hata sasa nafuatwa PM na "wasamalia wema" kunamimbia hayo...Hongera kwenu nyie couple ya ndani ya JF, nakumbuka kumsoma Nifah zamani kuwa ana mume yaani ameolewa.
Bwashee naona leo unafurahi tu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante sana V.. Unajua vile tunakuoenda pia! Asante kwa kututia moyo siku zote..Bold na Nifah niseme tu nawapenda.... Nyie ni wa kipekee kwa namna ya kipeke yake....
Mzidi kua strong everyday muweze kua mfano mzuri wa kuigwa na kuwatia moyo wengine wapitiao changamoto ya kimahusiano.
Hata sasa nafuatwa PM na "wasamalia wema" kunamimbia hayo...
Uzuri ni kwamba, "wasamalia wema" wanamjua Nifah wa kwenye mitandao... Mimi namjua Nifah wa kwenye maisha halisi.!
Shukrani.
Hongera pia kwa kutoa hongera,Hongereni mnoo jamani
Mungu awatangulie katika hili
Leo niko happy sana shemeji...Bwashee naona leo unafurahi tu..
Mtunze binti yetu vizuri..
teh teh enzi zilee banaaa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Halafu utakuwa unawaza "Huyu ndio yule Nifah aliyekuwa ananizingua vile? Mbona hafananii?"
Hahaha sio kwa ligi zile aiseee
Wewe nae tumetoka mbali? Basi tu.
No comments
Hujambo mtumishiTeh teh teh.... Ndiyo hivyo sister.
Sakayo jembe sana,Asante mpenzi Sakayo
Tupo pamoja nifah, sisi tupo nyuma yenu wewe nifah na the bold , mna marafiki wengi kuliko maadui be proud of thatDah,asante sana mkuu.
Nashindwa hata nikushukuru vipi,ila jua tu...tunakushukuru sana,sana.
hahahahahaha bwasheee namtania tu dada yangu..