The Bold & Nifah: Happy Six Months "Anniversary"!

Usinambie
Kwaiyo mlipendana kwa avatar,mwandiko,attitude au kihisia tu?
This is special!!
 
mm binafsi the bold nshawahi kumuona facebook,ila jina analotumia nimelisahau.Picha mojawapo niliyoiona kwenye akaunti yake ni ile ambayo alipiga wakat akitoa msaada wa vitabu kwenye shule fulani ivi.Ila jamaa ni mdogo tu.Mungu awabarik kwenye mahusiano yenu.
 
Team WCB & Team Yoooh... Kwangu ni mapema sana kupongeza.. Nasubiri ndoa ndio nipongeze sio kupongeza udhinifu
 
Impressive
 
Hisia huwa ni feedback za kitu au jambo flani
Huwezi kupata feedback kabla ya starter
Vivyo hivyo hisia haziwezi kuja bila utangulizi
 
The bold na Nifah nisaidieni hili!

Mnakabilianaje na changamoto ya kila mmoja wenu kuwa na team yake yaani the bold yuko WCB na Nifah kama sijakosea atakuwa ile timu nyingine(Team kiba)

Hivi kweli mnaweza kuongozana mkaenda kwenye tamasha la WCB kwa mfano[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
White Masai
Kakaang ww noma
Ila unapenda kukarangiziwa ww hadi kale kapicha kuleee nmeona wiii anakarangiza
 
nimefikiria sana hadi nimehisi nawajua! hongereni sana mambo ya malovee si mchezo
 
Mungu awafanyie wepesi na awaepushe na husuda za kibinadamu na majini
 
We jamaa banah! Unaisifia jamii forum kisa Umepata mpenzi!!! Haya banah
Nawatakieni kila la kheri
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bold anapenda kula huyooo,ila kiukweli tumekutana,usinione na kamwili kale Wii [emoji85]
Hahaha ila kuna cku alinambia ww unapenda bites sanaaaaa
Na vimatundaaa
Ila msije mkawa na vitambi shaur zenu. Mie cpo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…