Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Wewe ulitamani kusikia nini kwamfano..??Vipi kuna updates zozote ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulitamani kusikia nini kwamfano..??Vipi kuna updates zozote ?
Habibu B. Anga usinisahau siku ya kuhalalisha bro UNITAG AU KWA WHATSUP NAMBA YANGU UNAYOShukrani mkuu kwa kututakia kheri..
In shaa allah tuko kwenye hatua za kuhalalisha mkuu! Soon tutawapa update... And usikose tafadhali kwenye pilau
Matunda ya ndoa kama watoto,wajukuu nk ilimradi siku anapoyumba kutupa mwendelezo wa makala tunamtag mwana aongee na mshua ...
Dada, hapa wengi wanasubiria wasikie kimenuka ili wapate cha kujadili na mastori kibao....
Dada, hapa wengi wanasubiria wasikie kimenuka ili wapate cha kujadili na mastori kibao....
Sent using Jamii Forums mobile app
Elaa...'...wanawake wa kimasai ni wazuri,wenye utii ,wapole-but strong when it comes to issues.
....anyway-nimeoa mmoja kamwe sijawahi jutia.
Upo sahihi...wanawake wa kimasai ni wazuri,wenye utii ,wapole-but strong when it comes to issues.
....anyway-nimeoa mmoja kamwe sijawahi jutia.
Binafsi naona ninyi mpo vizuri sana, na sitamani kusikia hata shetani akijipenyeza na kujiinua kati yenu
Tatuzo ni wewe laanakum unayechezea mabinti za watu kwa kisingizio cha kuoa. Kesho naenda mlimani kufanya ibada. Ole wako nakuambia... ole wakoBinafsi naona ninyi mpo vizuri sana, na sitamani kusikia hata shetani akijipenyeza na kujiinua kati yenu
Basi tafuta tu wa kabila lingine Mkuu.Niliwai kua nae mmoja kiburi jeuri yaan hovyo sasa mnanichanganya
It is never too late to begin. Start now