muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Movie inaendelea...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo MkuuMkuu ninamfahamu vizuri huyo mtu wa kwenye avatar yako hapo, he was my classmate pale Tambaza. Majina yake yanaanzia na H and B ni wewe au umeamua tu kutumia bila yeye kujua mkuu???
Sema baadhiWalokole siyo watu wa kuwaamini hata kidogo!
dah King'ast enz hizo akina masai dada florah msofeSi ndio akamate mlezi mwingine? Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi
Gwajima na mzee wa upako hapana siwakubali kabisa kwasababu Mungu si wakudhihakiwa.Mkuu the Bold, bado uko JF, nakutafuta kwenye bandiko langu hili uje uwapige watu mhadhara kuhusu utakatifu wa baadhi ya wachungaji wetu.
Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo! Adai yeye ni zaidi ya Rais...
Paskali
Tusiwe wepesi kuamini wasemayo wanadamu, mengi sana sio halisi. Uliamini wana ushahidi na Emma alibaka, atatoka jela akiwa na 62YO. Leo yupo jela?? Tusiamini kila jambo watu wasemalo.Tatizo yeye anaongea tu,ushahidi hana.Wenzake wanaushahidi kuwa alibaka,namuonea huruma ana miaka 32,akipigwa mvua 30 atatoka na miaka 62.Cha kufanya sasa hivi aachane na mitandao,ajikite kwenye kesiyake,pia amwombe Flora hao ndugu zake wafute kesi
Vp kesi uliokomalia ya kubaka, ametiwa hatiani??mahakamani iyo kesi haipo, ipo ya kubaka, think big bro and unlesh your potential, huyu jamaa anatafuta excuse na simple popularity, wajinga wote mtamwamini, ila ajibu tu kesi yake maana haya yote hayasaidii
alishinda baada ya ushahidi kukosekana....Hivi kesi ya Mbasha ya kubaka iliishia wapi au bado inaendelea?
dah King'ast enz hizo akina masai dada florah msofe