The-Book-I-Read, 2024, Kitabu nilichosoma

The-Book-I-Read, 2024, Kitabu nilichosoma

Mimi najiandikia Mwenyewe vitabu. Na ukitaka kujifunza kitu chochote kile wewe niambie nikushauri au kukuandikia cha kurasa zozote zile utakazo.kwa hakika utafurahi mpaka ubakie ukibubujikwa machozi muda wote.
 
Mkuu nini kilisababisha ukaenda CCM? by the way replacement yako yaani John Mrema amekua failure sana kiasi nimetamani hata "tukusajili kwa mkopo hili dirisha dogo la usjaili".

Happy new year by the way
Shida kubwa waTanzania walio wengi wanaingia kwenye siasa ili kupata mali (pesa) siyo passion yao kuwa wanasiasa. Wakipewa ahadi ya cheo au pesa kingi zaidi sehemu nyingine wanabadilika kuwa baridi kama barafu mwisho wa siku haeleweki anataka nini.

Tafuta kazi ya kufanya nje ya siasa then fanya siasa kama hobby tu....utafurahia sana siasa.
 
Kwa kweli katika eneo la audio books na podcast, nimekubali kuwa mshamba. Vinanishinda 😁. Napenda nishike kitu mkononi.
 
Kwanza hongera kupata huo muda kusoma vitabu,mimi nimekuwa teja wa jf。
Naunga mkono hoja。
P
Senior, nisipokusoma hapa JF, huwa najisikia kupunjika siku hiyo. The art of presentation sasa…dah 🙌! Hata kama mengine nakuwa na reservations nayo, lakini nasoma najifunza vitu. Asante Chief.
 
Hongera sana kwa juhudi ya kusoma vitabu,binafsi ni mpenzi sana wa kusoma vitabu lkn wewe ni level nyingine

Huwa napenda pia kusikiliza audio books na podcast mbali mbali kujielimisha zaidi

Kwa kweli katika eneo la audio books na podcast, nimekubali kuwa mshamba. Vinanishinda 😁. Napenda nishike kitu mkononi. Utanifundisha mpiganaji. Nijifunze nami pia.
 
Mimi najiandikia Mwenyewe vitabu. Na ukitaka kujifunza kitu chochote kile wewe niambie nikushauri au kukuandikia cha kurasa zozote zile utakazo.kwa hakika utafurahi mpaka ubakie ukibubujikwa machozi muda wote.
Siwezi soma kitabu chako never
 
Back
Top Bottom