Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Shida kubwa waTanzania walio wengi wanaingia kwenye siasa ili kupata mali (pesa) siyo passion yao kuwa wanasiasa. Wakipewa ahadi ya cheo au pesa kingi zaidi sehemu nyingine wanabadilika kuwa baridi kama barafu mwisho wa siku haeleweki anataka nini.Mkuu nini kilisababisha ukaenda CCM? by the way replacement yako yaani John Mrema amekua failure sana kiasi nimetamani hata "tukusajili kwa mkopo hili dirisha dogo la usjaili".
Happy new year by the way
Baada ya kusoma vitabu hivyo umebadilika kitu gani kichwani mbona bado uko vile vile tu?Hongera sana lakini sijaona kitabu cha Mohamed Said cha histohisia ya Kariakoo.
Senior, nisipokusoma hapa JF, huwa najisikia kupunjika siku hiyo. The art of presentation sasa…dah 🙌! Hata kama mengine nakuwa na reservations nayo, lakini nasoma najifunza vitu. Asante Chief.Kwanza hongera kupata huo muda kusoma vitabu,mimi nimekuwa teja wa jf。
Naunga mkono hoja。
P
Hongera sana kwa juhudi ya kusoma vitabu,binafsi ni mpenzi sana wa kusoma vitabu lkn wewe ni level nyingine
Huwa napenda pia kusikiliza audio books na podcast mbali mbali kujielimisha zaidi
Siwezi soma kitabu chako neverMimi najiandikia Mwenyewe vitabu. Na ukitaka kujifunza kitu chochote kile wewe niambie nikushauri au kukuandikia cha kurasa zozote zile utakazo.kwa hakika utafurahi mpaka ubakie ukibubujikwa machozi muda wote.