The Book of meditation by Marcus Aurelius

Miaka inaenda aisee, niliandika hii post 2yrs ago..😳😳😳
It feels like yesterday. Mungu aturehemu kwakwel
 
Parfums from his words
FB_IMG_17138814548723152.jpg
 
Salute mate..

Huko china miaka ya 544BC alizaliwa bwana mmoja anaitwa Sun Wu, huyu bwana alikua jenerali wa jeshi la uchina ya zamani. Anafahamika zaidi kama Sun Tzu, alikua ni mtaalamu wa mikakati ya kijeshi. huyu jama aliandika kitabu kimoja kinaitwa The Art of War, kitabu hichi ni maarufu sana hopefully humu ndani wengi wanakifahamu...Kitabu hichi kinaelezea mikakati ya kijeshi jinsi ya kutumia wapelelezi, jinsi ya kuweka mikakati ya kumshinda adui yako.

kitabu hiki kinatumiwa na majeshi mengi duniani katika medani za kijeshi lakini pia watu wa kawaida hua wanatumia maandiko ya kitabu hicho kama falsafa zao binafsi za kuwaongoza maishani mwao...Yes ni kitabu kizuri sana lakini kwa upande wangu Falsafa za Sun Tzukatika kitabu hiki zipo kikatili sana ana maneno makalisana kama kitabu hiki kikisomwa na mtu mwenye Agressive behaviral model anaweza kufanya mambo ya kikatili kwa watu aliowaweka kama "target". Kwa mujibu wangu.
Baadhi ya maneno yake anasema kwamba..

Mwaka 121AD alikuwepo mtawala mmoja katika nchi nchi ya Rumi aliitwa Marcus Aurelius huyu jamaa alikua mwanafalsafa pia..kafundishwana Socrates,Quintus,Apollonius,Epictetus nk. Katika enzi za utawala wake alikua anaandika Diary binafsi kutokana na elimu yake ya falsafa. Katika diary zake hizo alikua anaandika mambo/falsafa mbalimbali ambayo yeye binafsi aliona yatamfaa na kumuongoza katika maisha yake. Miaka ya baadae diary zake zilikusanywa na kutengenezwa kitabu kimoja kwa kingereza kinaitwa Meditation.

Binafsi mimi naona hiki ni kitabu bora zaidi katika kumpa muongozo mtu jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha kuliko kile Cha Art of War. Naona anatumia njia za upole and gently katika kukabiliana na maadui sababu naona kwakua alikua ni mwanafunzi wa falasafa za kujali Utu na uhai zaidi kuliko Vitu/material yatuzungukayo.
baadhi ya nukuu zake anasema..

Wengi humu wanapenda sana masuala ya meditation, sijui wanapenda wanachokijua au wanapenda kwakua kuna watu wamewashawishi kupenda mwisho kuingia kufanya bila kujua.

unapotenda kitu kwanza kabisa anagalia unatenda kitu hicho back up inatoka kwa nani..Wanao amini katika Kristo wanaleta mafundisho kuhusu Meditation, wanaoamini katika Budha na miungu mingine wanaleta,wanaoamini katika Allah wanaleta mafundisho,wanaoamini katika shetani nao wanaleta... na wasomaji kwakua hawajui kuchambua yeye kaona Article kaipenda basi anaanza practice bila yeye kujua.Hao wote wanaoleta mafunzo kuhusu Meditation na mambo mengine ya kiroho hua hawasemi unafanya practice hizo Back Up inatoka kwa nani.
KunaMungu na Miungu mingi kila mtu huleta mafunzo kutokana na imani yake, chunga sana utaenda kuUnlock vitu vitakavyofanya ujute maishani mwako Shetani anatoa Back Up na Mungu anatoa Back Up as a Server. Mfano mtu unapractice kufungua uweze kuona mambo yajayo wakati by default mwanadamu hatakiwi kuExpect what is Next in the life. Fanya kitu kutokana na imani yako ilivyo sio unaomba vitabu vya kiroho usome hujui aliyeandika kitabu hicho aliongozwa na roho kutoka wpi...Utapotea Mate.

Binafsi mimi napenda sana kusoma vitabu vya Spiritual,psychology na Philosophy..kwenye vitu vya kiroho nilianza kusoma vitabu vya wahindu na Budhist mwisho nilianza kutamani kua Budha. Hivyo basi unaweza tumia kusoma vitabu vya kiroho kutokana na imani yako tu vipo ving...Im Catholic huku kuna vitabu vingi sana vya kiroho, unaweza kujiuliza kwa nini Bible imeandikwa miaka mingi iliyopita na inasomwa mara nyingi sana (kwa watu wanajisomea sana biblia) lakini kila siku ukisoma unakuta mambo mapya. Sababu ni moja Bible ina Back Up kutoka kwa Theo hivyo basi anaipatia Software Updates kila muda ndio maana haichuji lakini vitabu vingine ukisoma ukimaliza unapoteza interest nacho.

Vinchii
The Book of meditation
Nina wasiwasi kama hata kitabu hki Kiranga alishwahwahi kukisoma pia. Lakini nina wasiwasi pia kama ciphertext hizi hapa alishawahi kuzipitia

Na mojawapo ya video zake ni hii hapa

Sijakataa kua haina umuhimu meditation na ninakubaliana na maelezo yako. Shida sasa nachozungumzia unapofungua huo uimara wa akili,mwili na roho unafanya hivyo kwa back Up ya nani??? I mean unafanya kwa msaada wa nani???
Hapo ndio tunafeli kujua...ndio nasema kuna vitabu vingi vya mambo haya lakini je vyote ni sahihi kutokana na imani ya mtu????

Unajua kwanini melody ya usalushaji na uimbaji wa katoliki ni taratibu?? Kwasababu watu waweze kumeditate. Melody ile inaupa mwili utulivu na msawazo kisha muamini anakua karibu na Mungu wake..Hiyo ni pure meditation.
Definitions first. Meditation ni nini?
 
Salute mate..

Huko china miaka ya 544BC alizaliwa bwana mmoja anaitwa Sun Wu, huyu bwana alikua jenerali wa jeshi la uchina ya zamani. Anafahamika zaidi kama Sun Tzu, alikua ni mtaalamu wa mikakati ya kijeshi. huyu jama aliandika kitabu kimoja kinaitwa The Art of War, kitabu hichi ni maarufu sana hopefully humu ndani wengi wanakifahamu...Kitabu hichi kinaelezea mikakati ya kijeshi jinsi ya kutumia wapelelezi, jinsi ya kuweka mikakati ya kumshinda adui yako.

kitabu hiki kinatumiwa na majeshi mengi duniani katika medani za kijeshi lakini pia watu wa kawaida hua wanatumia maandiko ya kitabu hicho kama falsafa zao binafsi za kuwaongoza maishani mwao...Yes ni kitabu kizuri sana lakini kwa upande wangu Falsafa za Sun Tzukatika kitabu hiki zipo kikatili sana ana maneno makalisana kama kitabu hiki kikisomwa na mtu mwenye Agressive behaviral model anaweza kufanya mambo ya kikatili kwa watu aliowaweka kama "target". Kwa mujibu wangu.
Baadhi ya maneno yake anasema kwamba..

Mwaka 121AD alikuwepo mtawala mmoja katika nchi nchi ya Rumi aliitwa Marcus Aurelius huyu jamaa alikua mwanafalsafa pia..kafundishwana Socrates,Quintus,Apollonius,Epictetus nk. Katika enzi za utawala wake alikua anaandika Diary binafsi kutokana na elimu yake ya falsafa. Katika diary zake hizo alikua anaandika mambo/falsafa mbalimbali ambayo yeye binafsi aliona yatamfaa na kumuongoza katika maisha yake. Miaka ya baadae diary zake zilikusanywa na kutengenezwa kitabu kimoja kwa kingereza kinaitwa Meditation.

Binafsi mimi naona hiki ni kitabu bora zaidi katika kumpa muongozo mtu jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha kuliko kile Cha Art of War. Naona anatumia njia za upole and gently katika kukabiliana na maadui sababu naona kwakua alikua ni mwanafunzi wa falasafa za kujali Utu na uhai zaidi kuliko Vitu/material yatuzungukayo.
baadhi ya nukuu zake anasema..

Wengi humu wanapenda sana masuala ya meditation, sijui wanapenda wanachokijua au wanapenda kwakua kuna watu wamewashawishi kupenda mwisho kuingia kufanya bila kujua.

unapotenda kitu kwanza kabisa anagalia unatenda kitu hicho back up inatoka kwa nani..Wanao amini katika Kristo wanaleta mafundisho kuhusu Meditation, wanaoamini katika Budha na miungu mingine wanaleta,wanaoamini katika Allah wanaleta mafundisho,wanaoamini katika shetani nao wanaleta... na wasomaji kwakua hawajui kuchambua yeye kaona Article kaipenda basi anaanza practice bila yeye kujua.Hao wote wanaoleta mafunzo kuhusu Meditation na mambo mengine ya kiroho hua hawasemi unafanya practice hizo Back Up inatoka kwa nani.
KunaMungu na Miungu mingi kila mtu huleta mafunzo kutokana na imani yake, chunga sana utaenda kuUnlock vitu vitakavyofanya ujute maishani mwako Shetani anatoa Back Up na Mungu anatoa Back Up as a Server. Mfano mtu unapractice kufungua uweze kuona mambo yajayo wakati by default mwanadamu hatakiwi kuExpect what is Next in the life. Fanya kitu kutokana na imani yako ilivyo sio unaomba vitabu vya kiroho usome hujui aliyeandika kitabu hicho aliongozwa na roho kutoka wpi...Utapotea Mate.

Binafsi mimi napenda sana kusoma vitabu vya Spiritual,psychology na Philosophy..kwenye vitu vya kiroho nilianza kusoma vitabu vya wahindu na Budhist mwisho nilianza kutamani kua Budha. Hivyo basi unaweza tumia kusoma vitabu vya kiroho kutokana na imani yako tu vipo ving...Im Catholic huku kuna vitabu vingi sana vya kiroho, unaweza kujiuliza kwa nini Bible imeandikwa miaka mingi iliyopita na inasomwa mara nyingi sana (kwa watu wanajisomea sana biblia) lakini kila siku ukisoma unakuta mambo mapya. Sababu ni moja Bible ina Back Up kutoka kwa Theo hivyo basi anaipatia Software Updates kila muda ndio maana haichuji lakini vitabu vingine ukisoma ukimaliza unapoteza interest nacho.

Vinchii
The Book of meditation
I go with art of war
 
Mkuu sijaelewa hapo uliposema unaweza kusoma/kufanya meditation afu ukapata nguvu sijui toka wapi

Nacho jua mimi sisi kama binaadam tunazungukwa/ tupo na nguvu hasi ( Negative) na nguvu Chanya ( positive)

Sasa meditation yenyewe ikisimama peke yake ina faida zake zipo physical ( Kimwili) & Spiritual ( Kiroho)

Na hizi nguvu chanya na hasi zenyewe zipo tu , sasa uki ukuza ufahamu wako kwa kupitia mazoezi hayo ya meditation ( Pia zipo nyingi) ni wewe tu unatumiaje hiyo nguvu iliyo ndani yako na ambayo kila mtu anayo iwe kwa wema au ubaya ( maamuzi yanabaki kwa muhusika na malipo yake kutoka kwenye maumbile/ Mungu / yatamrudia muhusika)

Kwahiyo tunaweza kukubaliana faida nyingi za meditation ( Uimara wa akili, utulivu, uono N.K) na pia kwa wanao jitafuta kufikia kilele cha utambuzi ( self realization/ enlightenment)

Nina wasiwasi kama hata kitabu hki Kiranga alishwahwahi kukisoma pia. Lakini nina wasiwasi pia kama ciphertext hizi hapa alishawahi kuzipitia

Na mojawapo ya video zake ni hii hapa

View attachment 2976709

Mkuu Da'Vinci umepotea sana sikuoni jukwaani kulikoni.

Sema kuna kipindi Forbes walimpost kwenye Jarida lao.
Yule mwamba yupo wapi siku hizi au kahamia America

Forbes africa huwa wanakurupuka ndiyo maana huwa kuna madai kiwa wanalipwa. Hata jokate walishamweka kuwa atakuwa coming milionaire

Artificial rendering through AI ya jinsi Marc alivyoukua anafanana
Screenshot_20250223-190414~2.png
 
Back
Top Bottom