The Boondocks Special Thread

The Boondocks Special Thread

Ila The Boondocks imepikwa sana na wataalamu.
Hahaha... wameiandaa vizuri sana mpaka ikaonekana natural. Yaani whole family ni wacheshi next level and still madogo (Huey and Riley) walikuwa na akili sana, yaani wanafanya vitu ambavyo baadhi ya watu wazima hawawezi kuvifanya (Rejea Riley alipojiaffiliate na Hip-Hop community, alivyokuwa Fundraiser and the likes. Huey naye alikuwa so genius yaani alikuwa mtu anayespeak his mind na alikuwa anajudge vitu katika different perspective) Mzee Freeman naye alikuwa smart sema alikuwa ni Old Fashioned, so hakuwa ameenda na wakati. Mr. Dubois ndiyo alinivunja mbavu alipokutana na A Pimp Named Slickback, jamaa anakwambia itaa jina lote kama unavyoita A Tribe Called Quest
 
Nimekubali sana character design, yaani kama unaangalia comics.
The best series to ever grace the earth, na waandaaji wengi ni Blacks. Sema watu weusi tumebarikiwa sana, God bless.
 
Hahaha Huey yupo very smart asee hapendagi ujinga kabisa.

Mimi mtu aliekuwa ananiacha hoi ni Uncle Ruckus. Anakuambia "i got 32 jobs in a course of a week and niggas cant find one".

Jamaa anawachukia watu weusi kinyama.
 
Yes watu wako talented sana hasa Aaron McGruder jamaa ameitendea haki hii kazi.

Hata voice actors nao wamejitahidi sana kuifanya The Boondocks kuwa the best.
 
Hahaha.. Uncle Ruckus alikuwa racist kinyama. Yaani alikuwa hapendi blacks unaweza dhani jamaa alikuwa mkoloni.
 
Yes watu wako talented sana hasa Aaron McGruder jamaa ameitendea haki hii kazi.

Hata voice actors nao wamejitahidi sana kuifanya The Boondocks kuwa the best.
Yeah mkuu hata ile theme song ilikuwa kali sana, "Im the stone in the building refused, Im the visual,the inspiration that made the ladies sing the blues" Halafu huchoki kuiangalia. Nadhani wanaweza wakaja kuitoa katika format ya kisasa kwa sababu enzi hizo ilikuwa 480p.
Nimependa sana walivyotoa kitu original.
 
What Woman Sir? This is one Here is a Whore.

Kwa wapenzi wa The Boondocks mnatukuwa mnaelewa na ku enjoy hii scene ya Slickback oops 'the pimp named slickback".

Huyu jamaa alinifurahisha sana.

The Boondocks itabaki kuwa adult swim bora miaka yote. Hebu weka scene iliyokufurahisha.

Hahahah scene za THUGNIFICENT ndio zinanikoshaga
 
Yeah mkuu hata ile theme song ilikuwa kali sana, "Im the stone in the building refused, Im the visual,the inspiration that made the ladies sing the blues" Halafu huchoki kuiangalia. Nadhani wanaweza wakaja kuitoa katika format ya kisasa kwa sababu enzi hizo ilikuwa 480p.
Nimependa sana walivyotoa kitu original.
Nimechukia sana walipokatisha asee waseme hata fans tuchangie. Tokea 2019 nasikia inaendelea ila hamna kitu. Wakiendelea itakuwa hot sana.
 
What Woman Sir? This is one Here is a Whore.

Kwa wapenzi wa The Boondocks mnatukuwa mnaelewa na ku enjoy hii scene ya Slickback oops 'the pimp named slickback".

Huyu jamaa alinifurahisha sana.

The Boondocks itabaki kuwa adult swim bora miaka yote. Hebu weka scene iliyokufurahisha.

Bitch Dependency is a problem! You need to make her behave, you tell what you want if she cant hit a bitch! 😅😅😅
 
Nimechukia sana walipokatisha asee waseme hata fans tuchangie. Tokea 2019 nasikia inaendelea ila hamna kitu. Wakiendelea itakuwa hot sana.
Nadhani issue itakuwa kwenye Budget na pia kupata watu watakaoweza kufanya sequel iwe kali zaidi ya iliyotangulia. Unajua ukitoa film ambayo ni kali mwendelezo wake unakuwa ni ssue hata Movie ya Coming to America kuna watu hawakuipenda, kutokana na ya mwanzo kuwa kali sana kuliko mwendelezo. Lazima Riley na Huey watakuwa wakubwa by now kwa hiyo inawezekana ikawa ni ngumu kwao kupata watu wataoweza kuvoice na ikawa nzuri kama ya mwanzo.
 
Back
Top Bottom