Hahahahahaha ile ya "I think I love you". . . ?! Ngoja kwenye sherehe za kunirudisha kundini ntakuja na "Ahhhh. . .It was just a crush!!" . . .lolzzz
Sema kurudi bado bado bana. . .Hapa nimebeep. . Kupiga bado muda kidogo.
Hongera the BOSS...ila hii rufaa hii,tuko usijekuwa unajipanga kuchakachua matokeo..tujipange mwakani tutashinda..Kukata rufaa kunaruhusiwa?
Kuna nini hapa?
Hivi kumbe mpaka wake za wachungaji hawajambo kwa next door?.....Hahahah. . .Lawyer unataka wale walioniahidi vigari na vinyumba wa-Cancel offer? Embu tulia bana!!