Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baada ya promo kama primetime hongera zako mkuu kongosho aka konnie...
Na huyu ndio Isha mashauzi wa JF
Hongera mazee.
Kwa hio umeisha kuwa King wao.
Kabisa kabisa mazee, we wacha tu...kwa leo endelea na furaha yako The King of JF.unanikumbusha those golden days
mazee ...dah...
sijui ingekuwaje mbele ya ma original kama wa DHB ...
pasingetosha lol
Kwanza ningependa kumshukuru Superman kwa kuandaa mashindano haya kila mwaka
natumaini kwa kadri tunavyoendelea na mawazo ya mambers yakizingatiwa basi
shindano hili litaweza kuwa sehemu nzuri ya jukwaa letu la MMU......
pili niseme asanteni saana wale wote walio ni nominate na kunipigia kura
asanteni kwa kweli kwa sababu kuna members weengi wenye pointi za maana zaidi
but mliguswa na mimi ..upendo wenu na mimi umenigusa
tatu nitoe hongera maalum kwa Kongosho kwa upendo na mkuubwa kwangu aliounesha
nne nitoe asante maalum kwa MBU ambae mimi binafsi nilim nominate na kumpigia kura,
threads za MBU za 'mafaniko kimaisha' na 'fainali uzeeni' binafsi ni threads
ambazo hazilingani na thread zozote nilizowahi kusoma, kuna kitu priceless ndani yake...
MBU you are so great and i mean it....
mwisho niseme kwa mimi kushinda taji la 'KING OF MMU 2011' ichukuliwe kuwa ni vijimambo vinavyo spice up
JF kwa ujumla na haina maana najua zaidi au ni mtaalam wa kila kitu mmu
i hope nitaendea kujifunza kutoka kwa members wengine na mimi kutoa mchango wangu kama kawaida...
natumaini nitaendelea kukosolewa bila woga nikitofautiana na watu bila mtu kusema
'aaah huyu ndo King of MMU bana' ili na mimi niendele ku have fun like the rest hapa
bila kujilazimisha niwe mtu wa busara sana ambazo pengine sina lol
nitaendelea kuwa hivi hivi jamani..lol
mwisho but not least Dark City....asante sana....i am humbled by your comments for real...thank you...
niseme kwa ufupi tu niko so humbled na JF na wana JF kwa all this week kwa heshima
mliyotupatia sio mimi tu bali ASHADII,MBU,BAK,EMT,ASPIRIN,LIZZY.FAIZAFOXY na wengine woote....
i am still finding the right words to express this....
but kwa ujula asaanteni sana......i owe you all big time...
THE BOSS ......

Tatizo saa nyingine unajisahau unarudia tabia yako mbaya ya kung'ata LOL....hahaha, ...am humbled mkuu...sasa vipi yule mjukuu, si waona ninavyoshusha mistari ya
copy & paste?.... Au ndio niendelee kukusoma "forget the bite i sing for you?"
Mkuu sijaona sehemu uliyosema tutaitafunaje hako ka fifty ka zawadi. Mie kangu kameshaisha before sijakabidhiwa. Jana nlikopa bia za kutosha.Kwanza ningependa kumshukuru Superman kwa kuandaa mashindano haya kila mwaka