Hahahaaaaa! Basi nimekubaliana na wewe MSEMAJI WANGUU!!!!!!!! Hypothetically talking, If what that nonsense of yours miraculously turns to reality! I seriously dont see anything wrong, neither perculiar nor shocking! He is a man and im a woman! So nothing extra ordinary!
Jamani rudi unaitwa huku.......
mi namuogopa sana...
SIPO HATA TAYARI KUKUTANA NAE
SIWEZI AISEEE! ....NI NOMA ....UNAWEZA KUJISAHAU HIVHIVI !
I can smell mnuno hapa! LOL
Tulikuwa parii na The Boss, ndio maana tulicut-off all undesired (for that juicy moment of course) correspondents. Now me and the most wanted man in JF are back; na nitabana mpaka penalty l tell you (wadada wananunaje!). LOL
I know my dear, lakini when it comes to matter of heart; one cant be too sure you know.kwani na mi utanibania?
HATUAKUTANA BARABARANI ujue
af bora zimwi likujualo!bana
MEKUMISS HATAREE!
ehheheheh nahis my heart belongs to yu zaidi kuliko sukari ya warembo!so wala sitakubali heart yangu ikuumize!I know my dear, lakini when it comes to matter of heart; one cant be too sure you know.
me too hny, kazi ilipamba moto na si unajua tulikuwa kwenye 100% alert status hivyo nilikuwa front line mpakani nikiwa nimeelekeza mizinga kibande kile. Sasa mkulu katupunguzia hadi 50% hivyo naweza kujiiba iba kwa computer.