The Boss

Haa haaaa the best option hapo ni kupunguza wafanyakazi
na nitaanza na mchungaji lol

Hahahahaah huduma za kiroho zahitajika mkuu! Nadhani mshahara wako huo na malupu lupu yako vipunguzwe
 
hahahahaah huduma za kiroho zahitajika mkuu! Nadhani mshahara wako huo na malupu lupu yako vipunguzwe

sasa huduma ya kiroho si ndo utahitaji zaidi ukipunguzwa??
Au tumpunguze lizzy na ashadii hapo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…