The Boss

Sidhani hata kama alikumbuka kuhitimisha mkutano...
 
he hee umesahau zile kanuni za utanashati?

labda amevaa suti kali kunizidi,kajitafutia kupunguzwa lol


ahh... kwa zile kanuni kweli unamtoa... lakini weweza muweka Sever unit

awe analinda usalama wa vifaa huko badala ya kumfukuza...lol
 
teh teeeh tehe...................

Heee..ivi ni mimi tu ama? huyu jamaa anakaa huyo wa kwanza hapo mbona.
Kwa hiyo tuna;
- Mikatabafeki
- Rejao
- AshaDiii
- Boss!

Nani afukuzwe kazi!??
 
Heee..ivi ni mimi tu ama? huyu jamaa anakaa huyo wa kwanza hapo mbona.
Kwa hiyo tuna;
- Mikatabafeki
- Rejao
- AshaDiii
- Boss!

Nani afukuzwe kazi!??

wewe naona unasahau nafasi yako na ya wenzako...
mimi ndo ninae amua nani afukuzwe so far.....
inanipendeza kukufukuza aisee lol
 
kuna mfanyakazi hapo namuona kibonge kuliko hata bosi!
Yaelekea huyo ni an Accoutant!

Kabisa mzee, halafu kati kati ya huyo na mama wa nyuma ambaye nahisi ni mama wa HR, kuna jamaa kama Engineer hivi....lol huo upara....
 
Heee..ivi ni mimi tu ama? huyu jamaa anakaa huyo wa kwanza hapo mbona.
Kwa hiyo tuna;
- Mikatabafeki
- Rejao
- AshaDiii
- Boss!

Nani afukuzwe kazi!??


aaaisee....:smow:
 
sasa huduma ya kiroho si ndo utahitaji zaidi ukipunguzwa??
Au tumpunguze lizzy na ashadii hapo???

Mi ndo nilitaka kuja kuomba ajira kumbe nyie wenyewenu mnataka kupunguzana. Basi, nitaenda kuomba ajira ktk Shirika la Mgao wa Umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…