Hajasema imetoka mwaka huu.Amesema hiyo ni movie ambayo yeye binafsi ameiangalia mwaka 2017 bila kuichoka.Inawezekana alikua hajawahi kuiangalia na ndio kaiangalia mwaka huu,au alikua kawahi kuiangalia kipindi cha nyuma lakini mwaka 2017 ndio ukawa mwaka ambao yeye binafsi aliiangalia mara nyingi zaidi.Movie ya zaman hivo ,kisa umeiona mwaka huu ,unatuletea takwimu za uongo hapa ...
Cinema???Bonge la cinema wallah