The bourne identity the best move 2017

The bourne identity the best move 2017

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Habar wana Jf

Zikiwa zimebakia siku chache tuuage mwaka 2017 naomba ni-share Move kali na nyinyi ambayo nimeitizama bila kuchoka mwaka 2017

6a7167c0496987f1a3d77abd17a2ce2c.jpg


THE BOURNE IDENTITY

Hii move imeelezea uhalisi wa URUS wanavyo fanya Ujasusi ndio maana kipindi Dr Shika kipindi anaelezea yalio mkuta URUS nilimuonea huruma sana wa Rusi sio watu wazuri hata kidogo.




8d5c9078a81878e2345101ba722a8ca2.jpg
 
hyo ya muda mrefu sana, kiukwel matt Damon(Jason bourne) ndo mcheza filamu naye mkubali sana kuliko wote. anazo pia;
- The Bourne Legacy
- The Bourne Ultimatum
- The Bourne Supremacy na
- The Bourne Identity
Katika hzo zote kwangu mm Kali ni The Bourne Ultimatum
 
Movie ya zaman hivo ,kisa umeiona mwaka huu ,unatuletea takwimu za uongo hapa ...
Hajasema imetoka mwaka huu.Amesema hiyo ni movie ambayo yeye binafsi ameiangalia mwaka 2017 bila kuichoka.Inawezekana alikua hajawahi kuiangalia na ndio kaiangalia mwaka huu,au alikua kawahi kuiangalia kipindi cha nyuma lakini mwaka 2017 ndio ukawa mwaka ambao yeye binafsi aliiangalia mara nyingi zaidi.

Tujifunze kuelewa kinachozungumziwa kabla ya kumuattack mtu.
 
Back
Top Bottom