The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

Kichwamaji nakuunga mkono.
Hii ni Taka^2
Hivi huyu ni Dr wa PhD au ni Ule u Dr wa akina Matunge?
Upstairs Hamna kitu kabisa.
 
Hivi huyu Shoo, hiyo tittle Dr. ni yakweli ama ni ya ukihiyo/uchita.., Mbona hizi pumba alizo andika haziendani kabisa na hii tittle?

Duuu!! Hivi kujikomba kunaweza kukufanya mtu uonekane hamnazo mbele ya jamiii?? AMA KWELI HERI KUFA MASIKINI...
 
Japo sikubaliani na kichwa cha habari "Zitto hakuwatendea haki wananchi" nakubaliana moja kwa moja na uchambuzi wa dk Shoo kwamba
Zitto alikosea moja kwa moja kumhukumu karamagi kwamba ni muongo halafu akashindwa kulithibitishia bunge uwongo ni upi.
Kiufupi ni kwamba zitto alitakiwa afute kauli yake ya kumuita karamagi muongo halafu akasimama kidete kujenga hoja yake ya kuundwa kamati, kwa kufanya hivyo kusingewapa nafasi wapinga hoja ya zitto kutumia remark za Zitto kumgeuzia kibao.
Hoja ndiyo ni ya msingi, lakini tatizo ni kwamba zitto alichanganya hoja ya msingi na "Adhominen Fallacy" (yaani kumuattack mtu personally badala ya kuatack hoja")
hicho ndicho kilichomponza Zitto
Kamati ingeundwa ikachunguza ndiyo ingeweza kuonyesha "karamagi ni Muongo au la"
 
jamani mkiambiwa kweli mnakuwa wakali, huo ndio ukweli inabidi muumeze na mjipange msikurupuke tu wanachadema.
 
Kuto toa taarifa kabisa au kutoa taarifa na kuficha sehemu ya taarifa kwa madhumuni yeyote yale ni kudanganya.
Karamagi kwa makusudi aliamua kuficha taarifa ya kusaini mkataba kwa lengo alanalo lijua yeye.

Kimsingi muswada alioupeleka Bungeni na kupitishwa huku ukiwa hauna taarifa ya kusaini mkataba wa Madini ambao ulisainiwa katika kipindi alichokuwa akikitolea taarifa, ulikuwa na nia ya kuficha taarifa. Kuto kusema kila kitu wazi, kuficha mambo fulani yanayoendelea katika wizara yake.

Msilete zenu hapa. Hii si Rocket Science.

Karamagi kwa makusudi alilificha Bunge taarifa ya kusaini mkataba huko Uingereza.

Bunge lilipewa sehemu ya Muswada.
Bunge halikupewa taarifa sahihi ya kilicho na kinachoendelea wizarani na MH Karamagi.

Karamagi hakutaka kuweka wazi taarifa nzima kuhusu kusaini Mkataba katika kipindi anacho kitolea taarifa kama sheria na kanuni za Bunge zilivyomtaka afanye.

Kwa hiyo karamagi alitoa taarifa isiyo ya kweli Bungeni huku akijua fika kwamba taarifa hiyo si ya kweli.

Uongo ni;
Kutoa taarifa ya Kutunga taarifa na kuiweka kapuni ile iliyo sahihi
Kutoa taarifa kwa Kuongezea mambo yasiyo kuwemo katika taarifa sahihi.
Kutoa taarifa kwa Kupunguza au kuondoa mambo kadhaa yaliyomo katika taarifa sahihi
Kukaa kimya na Kutoitoa taarifa nzima

By implication Karamagi ni mwongo.
Sijakurupuka
 
Hoja ya Zitto nimeisoma yote. kilichokuwa mbele ya Bunge siku hiyo siyo hoja ya kusema uwongo, bali hoja ya kuundwa kamati teule kuchunguza mkataba wa Buzwagi. Kumbe na nyie mnachotwa kirahisi hivi kama wabunge wetu walivyochoitwa na Mudhihir? Naona mrudie kusoma uchambuzi wa Prof. Shivji, halafu muulinganishe na hoja zenu na za Shoo.

Dk. Shoo si kibaraka wa EL, JK na RA? Mwenzenu anafanya kazi aliyotumwa. Nyie mmetumwa na nani kuchafua akili zetu? msome upya Shivji.
 
Mfa maji haishi kutapatapa, sasa hivi wanaona kwamba upepo umegeuka na wanataka kuonyesha they are doing something. Kama kweli wako serious si waanze na Kashfa kibao za Mkapa (Net Group, Rada, Ndege ya Rais, Kiwira nk.)
 
Hapana, mi nadhani humu JF inabidi tuargue beyond petty politics za kuganga njaa! Jamani, mimi simhukumu Zitto wala KARAMAGI, ILA NAOMBA KUULIZA, JEE, BUNGE LILITUMIA VIGEZO GANI KUAMUA KWAMBA ZITTO NI MUONGO NA KARAMAGI YUKO SAHIHI? Kwanini Zitto aonekane muongo wakati hajahukumiwa? si ndilo bunge hilo hilo linalotunga sheria kwamba kila mtu ana haki ya kusikilizwa kabla ya kuhukumiwa? Mbona Bunge lilitoa maamuzi kwa kuangalia upande mumoja? wa waziri? maana hakuna impartial kamati iliyoundwa kubaini ukweli. Kwa hiyo kama waungwana wengine wanavyosema, Dr, Shoo ni wale wale tuliowazoea wasomi walio tayari ku-compromise taaluma na ujuzi wao kwa ajili ya kulinda maslahi yao ya mda mfupi.

JF, members ukweli ni kwamba watanzania tumechoka na hatujitambui! Sasa kama na sisi tulio miongoni mwa hii asilimia chache saana ya watanzania wenye access na mtandao bado tuna toa hoja kwa kuangalia maslahi ya wiki, mwezi, basi hatuna budi kukubaliana na NYANI NGABU KWAMBA WAAFRIKA TULISHALAANIWA. NDIVYOTULIVYO! Yaani tumeshindwa kabisa kutofautisha maslahi ya taifa na siasa za chama. Jamani kipi kifanyike wananchi tuone kwamba Tanzania ni muhimu kuliko CCM? TANZANIA ILIKUWEPO KABLA YA CCM na itakuwepo daima hata CCM ikifa leo! Mimi sio mshabiki wa Zitto ila kwa hili huyu bwana amejitahidi mnoooo! Ila kwa sababu ya Uchadema na UCCM hatuwezi ona kwamba taifa nA chama ni tofauti! Why??

Ninachoweza sema ni kwamba, watanzania tunajikaanga kwa mafuta yetu wenyewe. Ila ukweli ni kwamba hata babu zetu walituuza kwa shanga na mvinyo, kwa hiyo yanayotokea leo si mageni. SEMA YANATOKEA IN A DIFFERENT AND ADVANCED WAY. Makamba alivyosema kwamba dereva atazaa dereva na mkulima atazaa mkulima, hakudanganya, ila sema lilikuwa ni fumbo kubwa ambalo wengi wetu hatukulielewa.
 
Isomeni kwa makini mjue kama suala la uwongo na ukweli lipo hapa.

ZITTO KABWES SUSPENSION:
AN EPISODE OR AN EPITAPH?


Issa Shivji

The suspension of Honourable Zitto Kabwe from parliament is not simply an episode. It is a beginning of an epitah on the last twenty years of reckless privatisation and exploitation of national wealth and resources. The suspension was an occasion for the people to give vent to their accumulated grievances, problems, and frustrations.

Two decades of neo-liberal reforms has produced a deeply divided society and an utterly fractured politics. At one pole, there is a small group of filthy rich (walalaheri), who have used all means, fair and foul, to accumulate wealth. At the other pole, are the large majority of the wretched poor (walalahoi), who are desperately trying to keep body and soul together. Under Mwalimu, the ratio between the highest and the lowest wage/salary income earners was something like 1 to 8. The current one is 1 to 50, and that is an underestimate because it does not take into account unofficial, informal, and unaccounted incomes.

Every year over 800, 000 young persons are released on the labour market; hardly one-tenth of whom find formal jobs. Meanwhile, privatisation and capital-intensive investments continue throwing out more and more as redundant. Adding salt to the wound, politicians justify dubious foreign investment deals as creating jobs, as did Minister Karamagi in this episode. By his own account, he chased $800 million investment all the way to London because it would create 600 jobs. At that rate, Hon. Karamagi would have to make over 100 trips every month to London to sign $800 million worth projects to absorb the new entrants on the job market.

It is the elite who make such calculations to justify or condemn but the people know instinctively through real life experience that we are only rationalising the loot of our national resources. That is what neo-liberalism is all about. Looting of natural resources and making of profits by converting public goods education, health, water, electricity, land, bioresources - into private commodities is the driving force of globalisation. The Thatchers and the Reagans of this world were the forefathers and foremothers of the neo-liberal phase of imperialism. The Foxes ( Mexico ) and the Mkapas ( Tanzania ) became the fathers of undisguised compradorialism on the continents of the wretched of the earth.

Use of public office for private accumulation, a sin during Mwalimus time, has been cleansed and legitimised. Businessmen enter politics to protect their ill-gotten wealth while politicians use public offices to acquire illegitimate wealth. Accumulate, accumulate has become the name of the game. Politics has become business as business has captured politics. The third phase president symbolised and rationalised this process. He is one of the few politicians who practised what he preached, as recent revelations in THISDAY have shown.

We have witnessed scandalous privatisation and other contracts IPTL, TTCL, TANESCO, CITY WATER, RICHMOND , KIWIRA COAL and BULANYHULU GOLD. When Zitto proposed a private motion to investigate the signing of Buzwagi deal, he deeply touched the feelings and aroused the discontent of the people. He was giving public expression to private doubts and suspicions. When he was unceremoniously suspended, fuel was added to the fire. Private anguish became public anger.

Steeped in the orgy of accumulation, our rulers failed to gauge the mood of the public. The reaction was unexpected. It was unprecedented. In a desperate attempt to rescue the situation, the Bunge, under the signature of the Clerk to the Assembly, issued a Statement on the legality of the suspension. It ended by issuing more threats: Beware you, the so-called activists, lest the heavy hammer of law befall you! That was provocative. The so-called activists are threatening to flood the streets with demonstrations.

Two days after the Bunge Statement, the Deputy Speaker Mama Makinda, flanked by two vice-chairmen of parliamentary committees, both CCM and both legally trained, gave a press conference. She argued that the suspension had nothing to do with the private motion but everything to do with the words used by Hon. Zitto. She deployed the standard, albeit tired, rationalization. People reacted the way they did because they were ignorant of parliamentary procedures. The parliament therefore was intending to educate the people on its workings. Let us see who needs to be educated.

What was the ignorance about? It was about the interpretation and application of the Kanuni za Bunge. Both the Statement and the Deputy Speaker argued that Zitto was penalised under rule 59(3). Under rule 59(3), an MP, who is alleged to have told a lie on the floor of the House in terms of rule 50(1), can be punished on a motion proposed by any other member of parliament and carried. Moreover, the penalty is not specified; so, the Statement seemed to imply, any punishment could be applied; the sky is the limit.

It is true that different lawyers can have different interpretations of the same provision. Only the courts have the last word. However, it is also true that some interpretations are credible; others are not. No reasonable lawyer worth his or her salt would advance an interpretation, which is obviously unreasonable or does not make sense. I will briefly clarify what the rules say.

Rule 50(1) forbids any member from telling a lie in the House. The speaker or any other member of parliament may require an MP to prove his or her statement in which case the member concerned is required to provide the proof within the time given by the Speaker for this purpose.

Under rule 59(3), an MP who has been given time to prove h/er statement fails or neglects to do so within time, then the Speaker shall impose a penalty on him or her provided in rule 59(2). The maximum penalty provided in rule 59(2) that may be imposed by the Speaker is to exclude the concerned MP from the House until the end of the meeting for that day.

Rule 59(3) also provides that any other MP, who thinks that the lie told by the concerned MP is so serious that it undermines the honour of the House, may propose a motion to suspend the concerned MP from performing his or her parliamentary duties for the duration stated in his or her motion. Such motion is then deliberated upon and a decision made in the same way as other motions.

The Statement and the press conference argue that the punishment imposed on Mr. Zitto was a result of the motion proposed by Hon. Mudhihir Mudhihir under rule 59(3).

In my view, the application of 59(3) is dependent upon the happenings in 50(1). Three things must have happened before rule 59(3) comes into play. First, the MP concerned must have told a lie. Second, the Speaker must have given him time to prove the statement, which is alleged to have been a lie. Three, the MP must have failed or neglected to prove it and the Speaker did not use his powers to exclude him or her for the day.

Were these three conditions satisfied before Hon Mudhihir Mudhihir was allowed to propose his motion? First, what was the lie? The lie has to be identified before its truthfulness can be proved. The Statement seems to say that when contributing to the debate on the budget speech of the minister, Zitto had given an oral notice that he intended to bring a private motion for the appointment of a parliamentary committee to investigate the signing of the Buzwagi contract. Among other things, Zitto said that the Ministers answer on the issue was incorrect and that he had deceived the parliament. This was the lie identified in the Statement, after the fact, not by the Speaker at the time it was uttered. This was considered a lie because after Zitto had moved the motion and the minister had replied it was clear that the minister had not deceived (words of the Statement). Therefore, Zitto had failed to prove his statement, therefore Hon. Mudhihir Mudhihir was within rule 59(3) to propose the motion, and therefore it was correct for the parliament to impose the penalty it did.

It does not require a great legal mind to discover that this argument does not satisfy the conditions of rule 50(1) and 59(3). There was no ruling by the Speaker when Zitto gave his oral notice that he had told a lie in the course of his speech. There was no statement by the Speaker identifying the lie. There was no Order by the Speaker giving Zitto time to prove his statement. Because no time was given, there could not be any point in time when the time expired. And, because there was no time given and no expiry of time, in law, Hon. Mudhihir Mudhihir had no basis for moving the motion.

The only reason I have gone into details is to show that the attempt to lean on law was a frantic attempt to justify the unjustifiable. Even if the official interpretation made sense and could hold, and even if it could be shown that the suspension was legal, it would make no difference to the perceptions of the people. For the people, Zitto was demanding accountability on their behalf. The Executive not only arrogantly refused to account, but used its party muscle in parliament to punish him unjustly. At the end of the day, the mining issue is a political issue, not a legal one. An action can be legal but not legitimate in the eyes of the people. In this case, it was neither legal nor legitimate.

We are beginning to witness the rise of a demand for resource democracy. People are demanding not only that their resources be in the hands of the nationals but also that the people should control them. People are fed up with the looting of their resources whether the looters are nationals or foreigners, white, black, pink, or blue.


© Issa Shivji

Issa Shivji was a professor of law at the University of Dar es Salaam until his formal retirement in 2006.
 
jamani mkiambiwa kweli mnakuwa wakali, huo ndio ukweli inabidi muumeze na mjipange msikurupuke tu wanachadema.

Hivi nani aliyekwambia watu wanatoa maoni yao kama wanachama waCHADEMA!? 😕
Tunatoa maooni yetu kama Watanzania tusio na chama chochote bali tunataka maslahi ya Watanzania yawekwe mbele katika mikataba inayohusu Tanzania
 
Wanajua hilo hawawezi kuomba msaada kwa Sotland Yard kwa sababu kuna kuumbuka!Ndio maana wamemtuma Hosea kuja kutukoga hapa! na baadaye mambo kuisha kimya kimya.
 
Msomeni Shvji hapo juu kwanza. Tusivaane wenyewe kwa wenyewe, hapa ni Shoo na Shivji, tuone usomi wao katika kisa cha Zitto na Bunge.
 
Hivi huyu Shoo, hiyo tittle Dr. ni yakweli ama ni ya ukihiyo/uchita.., Mbona hizi pumba alizo andika haziendani kabisa na hii tittle?

Duuu!! Hivi kujikomba kunaweza kukufanya mtu uonekane hamnazo mbele ya jamiii?? AMA KWELI HERI KUFA MASIKINI...

Bado siamini kama kweli hizi hoja zilikuwa ni za Shoo (Dr) yuleyule tunayemfahamu.Kama amefikia kutoa hoja dhaifu kama hizo kwa ajili ya kujikomba kwa mwajiri wake mpya,basi anaweza kufanya lolote lile ambalo linaweza kudhalilisha utu wake(as a man)kumfurahisha.Binafsi niliheshimu sana mchango wake kama mwandishi,lakini sasa naanza kutia shaka.Nakubaliana na Rwabugiri,HERI KUFA MASIKINI KULIKO......
 
jamani mkiambiwa kweli mnakuwa wakali, huo ndio ukweli inabidi muumeze na mjipange msikurupuke tu wanachadema.

Kwako wewe kila anayetetea maslahi ya nchi hii ni Chadema? Kwa hilo ufanyalo ni kuipandisha chati Chadema kuwa ndio chama pekee kinachotetea maslahi ya Watanzania,ingawa hilo sio lengo lako.Turudi kweye hoja ya msingi.
 
jamani mkiambiwa kweli mnakuwa wakali, huo ndio ukweli inabidi muumeze na mjipange msikurupuke tu wanachadema.

Kwako wewe kila anayetetea maslahi ya nchi hii ni Chadema? Kwa hilo ufanyalo ni kuipandisha chati Chadema kuwa ndio chama pekee kinachotetea maslahi ya Watanzania,ingawa hilo sio lengo lako.Turudi kwenye hoja ya msingi.
 
Back
Top Bottom