The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

Halafu lowasa kwenye campain alikuwa anajisifu kuwa anataka kuwa tajira kama akina karamagi na Rostam na kuwa anauchykia umaskini na sisi tunapiga makofi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kama hukupiga makofi kipindi hicho basi uliona mbali sana. Mana hata nami nilifunikwa na ushabiki.
 
Ndio maana Pro. Muongo amekuwa mbuzi wa kafala, hv kwani yy ndio aliyesaini hyo mikataba ya madini? Mbona waliyo saini hyo mikataba London wajachukua hatua wala kuchunguzwa?
 
Tafadhali tafadhali CCM msianzishe vita ya mawe mnaishi kwenye nyumba ya vioo!!!!!
 
Nauchukia umaskini nataka kutengeneza akina karamghi wengi na akina rostam azizi wengi
By lowasa
 
Tafadhali tafadhali CCM msianzishe vita ya mawe mnaishi kwenye nyumba ya vioo!!!!!
Ulitokea kwenye kilabu gani kabla ya kuquote post yangu hiyo ya mwaka 2007, yaani miaka kumi iliyopita?
 
I just enjoying my right to access information Hivi ndivyo tulivyopigwa tulianza kwa maombi tukasema kitu cha kuogopa kwa sasa ni Mungu + teknolojia maana inamchukua mtu dakika 3 kufukua kaburi.
 
Reactions: BAK
Magufuli knows everything
Waliongea na karamagi kwenye baraza la mawaZiri, alikuwepo bungeni ba alikuwa sehemu lubwa ya ushawishi kuliko zito
Magufuli tell us everything
Magufuli wewe ndio msaliti
Kama unaumia leo ni uongo
Uliona waziwazi pengine ulisimuliwa yote
Haukuumia wakati ule hata ukapata sehemu yakusema wakatiwa speech zako huru au kampeni

Magufuri ukifukua makaburi hayo hukumu ukijua na wewe ni sehemu ya tatizo wakati wakati ule

Sema natibu tatizo langu na wenzangu wa wakati huo.
 
Kweli JF ni kisima cha habari.
JF ni zaidi ya magazeti.
Wito: Tunaomba serikali iichukulie JF kama mojawapo ya entity bora kabisa kwa upazaji sauti za watu wanyonge.
Waishauri kama kuna mapungufu yalekebishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…