Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona starv hawaoneshi tena vikao vya bunge
dah JF inabidi ipewe tunzo ya best Political news Archives sio kwa thread za zamani kiasi hiki
na yeye mkuu enzi hizo si alikuwaga mbunge tayari au?Sasa kaumbuka. CHADEMA walipiga sana kelele wakaonekana wasaliti
Zitto kawasilisha hoja yake ya Buzwagi/Karamagi, imewasumbua sana CCM MPs wamekua wakijibu hoja badala ya kuchangia, wamechanganyikiwa kishenzi.
Asubuhi hadi saa 7 ilikua live TVT na Star TV, but jioni wakachomoa hakuna cha LIVE, maana saa hizi Zitto anajibu hoja na kuwabana, amekua kama Waziri aliyewasilisha, anapewa saa nzima kujibu hoja za wabunge lakini nasikia humo ndani wanamchanganya kila saa anasimama MBUNGE ama Waziri anasema, "KUHUSU UTARATIBU".
Star TV walianza saa 11 kuonyesha mechi then wakaanza Bongostar, then kipindi cha afya yetu na sasa ni matangazo tu ya biashara. HII NI AIBU KWA UTAWALA BORA NA DEMOKRASIA, waliona wananchi wataona wanavyodhalilika na jinsi wasivyotetea maslahi yao
Hoja inatupwa baada ya CCM kushinda kwa kura.
Sasa Mbunge wa Mchinga, mwalimu wa zamani wa Usalama wa TAifa, Mudhihir M. Mudhihr anawasilisha hoja ya kutaka Zito asimamishwe ubunge kwa kusema uongo. Hoja inajadiliwa na wengi,
anaanza Dr Slaa anasema hakubaliani na hoja ya kumsimamisha ubunge zitto kwa sababu hakuna ushahidi wa kusema uongo wa zitto haujathibitishwa. Haya wataendelea na baadaye atakuja John Malecela
Dr Slaa anasema, "
Mkuu,sijui kwanini lakini leo nimejikuta napata hasira sana yaani hadi nimeshangaa....Makaburi ya JF yanafukuliwa rasmi.
Walitaka izimwe,sijui kwasababu ipi...Umeona eh Mkuu, we acha tu. Jamii Forums ni library ya aina yake kuhusiana na matukio mbali mbali ya siasa nchini mwetu na miaka ya karibuni Kenya.
Makaburi ya JF yanafukuliwa rasmi.
Hahaha, wananchi mmefukua kaburi
Magufuli knows everything
Waliongea na karamagi kwenye baraza la mawaZiri, alikuwepo bungeni ba alikuwa sehemu lubwa ya ushawishi kuliko zito
Magufuli tell us everything
Magufuli wewe ndio msaliti
Kama unaumia leo ni uongo
Uliona waziwazi pengine ulisimuliwa yote
Haukuumia wakati ule hata ukapata sehemu yakusema wakatiwa speech zako huru au kampeni
[color=blue{Magufuri ukifukua makaburi hayo hukumu ukijua na wewe ni sehemu ya tatizo wakati wakati ule[/color]
Sema natibu tatizo langu na wenzangu wa wakati huo.
Naona mnafukua makabuli