The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

Hapa kwa KARAMA ndio mwanzo wa shida yote hii, mwenzetu alijitajirikia kupitia mchongo huo akaanza kuzitakatisha kwa kuanzisha kampuni yake ya kupakia na kupakua mizigo bandarini, akasaidia kuiua NASSACO, Kwa hiyo mambo mdundo kwa kwenda mbele "Mwalimu aliona mbali kuwazuia viongozi kuwa na shea kwenye makampuni"
 

duh shikamoo Chadema uyu Mudhihir yupo wapi jamani
 
Reactions: SDG
Tumekuja kushtuka 10 years later!! Kweli Viongozi wa CCM ni kama kichwa cha Mwenda-wazimu. Kila ''mwekezaji'' anakuja kujifunzia kunyoa.

Waliokuwa wakiyapinga kwa povu kali maneno ya akina ZITTO na wapinzani wenzake leo hii wamepiga u-turn na wapo busy kumshangilia Magufuli ''kwa kazi nzuri'' anayoifanya
 
Makaburi ya JF yanafukuliwa rasmi.
Mkuu,sijui kwanini lakini leo nimejikuta napata hasira sana yaani hadi nimeshangaa....

Nashangaa watu wale wale walioleta hasara leo wanashangilia hasara ile ile waliyoisababisha kuwekwa hadharani....

Yaani yahitaji uvumilivu sana kwakweli....

Nimezurura sana kwenye jukwaa la siasa leo kila nikitaka kukometi naahirisha maana ningeweza kuandika jambo la ajabu na watu wangenishangaa kabisa....

Nimekometi mara chache sana....
 
Umeona eh Mkuu, we acha tu. Jamii Forums ni library ya aina yake kuhusiana na matukio mbali mbali ya siasa nchini mwetu na miaka ya karibuni Kenya.
Walitaka izimwe,sijui kwasababu ipi...
 
Sasa hao mbwa ccm akiwemo magufuli walivoshangilia na kutetea huo mkataba. Haowore huwa wanatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
 
Reactions: SDG
wahusika, vibara na wanafiki tuwataje hapa wale waliohusika na mikataba hii
 
Sakata la ufisadi Na kusaini mikataba hazijawahi acha nchi salama
 

 

Attachments

  • IMG_-9wfb3z.jpg
    105.9 KB · Views: 47
[HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]

Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

CCM: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.

[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]

JPM: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

CCM: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!

[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe [emoji23][emoji23].!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…