The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

is this guy Karamagi still alive?duh watu wengine sijui wana roho 7 kama za paka?
 
zero hii habari hata haina mvuto,tunasubiri habari mpya...mbona hamzileti?huyu karamagi sidhani is worth our debate
 
Msanii,

Inabidi tukubali kutokuwa na share, au kuna njia ya kuuliza share yetu kapewa nani? CHADEMA wanajua haya mambo au lao ni Buzwagi peke yake?
 
Mwalimu Moshi you need not to askif those Chadema wanajua hili .NO Nchi hii si ya Chadema ni ya Watanzania sisi sote ukiwemo .Ukisha jua hili unalibebea bango kama lina ukweli badala ya kumngojea Zitto na Mbowe .Lazima kupambana kwa kila namna kuiokoa Tanzania yetu na kuwaachia Chadema mwisho itakuwa kmaa CCM walivyo sasa wanadhani Nchi hii ni mali ya CCM pekee na si Watanzania.
 
Msanii,

Inabidi tukubali kutokuwa na share, au kuna njia ya kuuliza share yetu kapewa nani? CHADEMA wanajua haya mambo au lao ni Buzwagi peke yake?


........ Amini amini nakuambia kuwa ukiona kuwa share yetu haipo ujue nchi inauzwa.....

NATAMANI KUFAHAMU KAMA KUNA MTU ANAFAHAMU AKAUNTI ZA VIONGOZI WETU NJE na ZINA KIASI GANI.... nina imani kuwa nyingi ya kaunti hizo zimetokana na kuliibia taifa kupitia mikataba hovyo ikiwemo ya madini...

NITALIA MIMI....... ohooo!
 
Hebu tujaribu ingawa ni ngumu tutajua tu,kama akaunti zipo tutawageuza akina chiluba.Hatutaki mchezo tena.Uwezo tunao mpaka kieleweke!Karibuni!
 
Hapa kimeshaanza kueonyesha dalili za kueleweka kwa wale mliofuatilia siasa za Kenya wakati utawala wa Moi unaenda kudondoka mambo yalianza hivi hivi, vuteni subira ila ongezeni kasi ya kusema ukweli kila wakati.
 
Napenda kuwaalika ama kuwapasheni habari kwamba leo saa mbili usiku kipindi cha Jenerali Ulimwengu LIVE na Tundu Lissu na atakuwa anauchambua Mkataba wa Buzwagi . Stay tuned na baada ya hapo tutajadili .
 
Napenda kuwaalika ama kuwapasheni habari kwamba leo saa mbili usiku kipindi cha Jenerali Ulimwengu LIVE na Tundu Lissu na atakuwa anauchambua Mkataba wa Buzwagi . Stay tuned na baada ya hapo tutajadili .

Asante Lunyungu......

I hope ile connection ya kweye website ambayo tuliombali na bongo huwa tunatumia itakuwa live pia....
 
Kuhusu connection sina info za kutosha ila tu juu ya Lissu kuwa LIVE nimethibitishiwa hilo so nami naangalia namna ya kufanya connection nisije simuliwa
 
Shukran Lunyungu Tutakuwepo makini kusikia nini kimesemwa huko!
 
mwenyekupata hiyo connection basi hasisite kutuwekea hapa.natanguliza shukrani zangu
 
Kipindi ndio kimeanza..

422007-09-24_203408.jpg


422007-09-24_203556.jpg


422007-09-24_203559.jpg


422007-09-24_203610.jpg
 
JF Members.

Hawa jamaa wanao huo mkataba wa Buzwagi. Wanauchambua kisawa sawa..
 
Back
Top Bottom