The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

kilitime,
hivi umesahau nini ni siku chachetu zilizopita ile kampuni pale bandarini imeongezewa mkataba,na watu wamebaki kulala mika tu
 
Well, Najaribu kutupa upande mwingine ili tupate mwanga zaidi, mfano kama sheria inasema baada ya miaka ishirini tano, kipindi kingine kinachoongezwa si zaidi ya miaka 25... mfano...

Na katika mkataba ukasema Waziri husika atakuwa na mamlaka ya kupanga ni muda gani?

Hii inamaanisha,,, kwanza Waziri hana mamlaka ya kuongeza zaidi ya 25, lakini mkataba unampa ruhusu waziri kusema tutawapa miaka 4, 5, 10, zaidi tu kwa kuwa probably performance yenu haikuwa nzuri, hapa ni kuangalia kwenye positive side yake...
 
Kweli hii ni hoja muhimu ya kuverify claims,,, nisingependa kuamini kirahisi mpaka nipate upande wa pili, especially from economics and not from a laywer, i could listen if it was from a mathematician at least!

I think this is way beyond your level of comprehension.Contracts are drawn up with legal terminology by lawers who have studied contract law like Tundu Liso and not mathematicians.If a disagrement arises the dispute is taken to an abitrartion board and challenged by lawers representing both parties. A good example is the Vallambia Case which has made that crook Mkono a Billionaire.
If you are talking about what was builtin in terms of monetury gains then you want a Qualifed Charted Accountants advice.But in short we were screwed.The deal stinks.
 
Kilitime ..
Issue ya kwamba ati baada ya miaka 25, Waziri anaweza kuongeza miaka zaidi ya 25 tofauti na sheria,,, pia... hiyo mimi siiamini kwa sababu moja kuu, mikataba yote inakuwa na kipengele kwamba sheria za nchi husika zisivunjwe ikiwa pamoja na sheria hiyo ya madini,,, kwa maana waziri hatakuwa na mamlaka ya kuongeza miaka zaidi ya 25... destination ya Lissu at the end of the day will be politics, tusubiri!!!
__________________

=========================================
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuwaza wewe, niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.

signature yako inakusuta kaka maana huongei kama inavyoonesha
 
Mkataba wa Buzwagi uwekwe hapa ili wanaoamini kwamba wanaweza kuchangia zaidi wachangie tuwaone, maana ninavyofahamu, Lissu amehusika kufuatilia (hata kama si mtaalamu) masuala ya madini ikiwa ni pamoja na mikataba kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Hata kama angekua si mwanasharia hiyo pekee inatosha kumfanya kuwa na nguvu ya kuzungumzia mkataba. Pia Lissu na wanasheria wengine wamejihusisha kama marafiki wa mahakama katika kutetea serikali ya Tanzania katika kesi ya City Water, huko katika msuluhishi wa kimataifa. Pia ana moyo wa kuthubutu na kutuwekea mkataba hadharani, hii inaonyesha kuna wanaompatia na kwa hiyo wanaomuamini. Sasa hatuna sababu ya kumbeza tumpongeze na kumsaidia. Tunaweza kukosoa kwa kujenga, lakini kwa kiwango kikubwa amesaidia sana katika VITA DHIDI YA UFISADI NA ANATUSAIDIA KUOKOA RASILIMALI YETU NA VIZAZI VYETU. Tumuombe Lissu awape wataalamu wa IT wauweke mkataba hapa. Una page 25 tu
 
Still waiting for MP3 files,

Namheshimu Lissu sana, lakini sina imani kwamba uchumi umezama kichwani kwake kwa hiyo nitakuwa mnafiki kama sitasema ninamwamini kwenye uchambuzi wa sheria kama contract/agreement, zaidi ya uchambuzi wa kwamba nchi imepata nini? in terms of ROI?, kwa kuwa hii haihitaji simple algebra kama wengi wetu wanavyoamini... ni complex kiasi fulani...and sometimes it is easy kumpleka mtu mahali mchambuzi yeyote anapotaka!!!


Jambo la kuongeza urefu wa mkataba, halina issue yoyote asipende kutufanya kwamba watu wapumbavu kwani baada ya miaka 25 Karamagi atakuwepo?


labda sijui, lakini anayoclaim mengine hayana msingi wowote! sorry to say, tunaomba mkataba kama uko wazi uletwe hapa tuchambue, pamoja na kwamba sisi mambumbu! do you think ungekuwa investor ungewaachia serikali wabadilishe kanunu za mkataba kila kwenye bunge la budget au kila mwezi!

Issue ya kwamba ati baada ya miaka 25, Waziri anaweza kuongeza miaka zaidi ya 25 tofauti na sheria,,, pia... hiyo mimi siiamini kwa sababu moja kuu, mikataba yote inakuwa na kipengele kwamba sheria za nchi husika zisivunjwe ikiwa pamoja na sheria hiyo ya madini,,, kwa maana waziri hatakuwa na mamlaka ya kuongeza miaka zaidi ya 25... destination ya Lissu at the end of the day will be politics, tusubiri!!!

Kweli hii ni hoja muhimu ya kuverify claims,,, nisingependa kuamini kirahisi mpaka nipate upande wa pili, especially from economics and not from a laywer, i could listen if it was from a mathematician at least!


Well, Najaribu kutupa upande mwingine ili tupate mwanga zaidi, mfano kama sheria inasema baada ya miaka ishirini tano, kipindi kingine kinachoongezwa si zaidi ya miaka 25... mfano...

Na katika mkataba ukasema Waziri husika atakuwa na mamlaka ya kupanga ni muda gani?

Hii inamaanisha,,, kwanza Waziri hana mamlaka ya kuongeza zaidi ya 25, lakini mkataba unampa ruhusu waziri kusema tutawapa miaka 4, 5, 10, zaidi tu kwa kuwa probably performance yenu haikuwa nzuri, hapa ni kuangalia kwenye positive side yake...

Kilitime,
Vipi tena mkubwa, mbona kwenye hayo hapo juu unaonekana kujichanganya sana (kama si kutapatapa), mara kuamini wachumi mara kutowaamini, mara kuamini ma lawyer mara kutowaamini... kama inawezekana tafadhali fafanua zaidi msimamo wako, maana miye nashindwa kuelewa kile unachotaka kupinga au kupingua kuhusu Bw. Lissu. Ahsante.

SteveD.
 
Simwelewi Killtime.

Kwa maoni yangu jamaa hafuati siasa za Pazia kwenda sambamba na ukuta wala Bendera kufuata upepo.

Nimeshindwa kujua akionacho si sawa kuhusu ufafanuzi wa mkataba ni nini?

Mkataba umefafanuliwa na mwanasheria anataka Mchumi aingilie, mchumi akifafanua pengine atataka mwanasayansi aingilie kati kutuambia Density wameipataje wakati Volume na Masss ni Siri.

Sielewi ni kujichanganya, nikuchanganya watu au hoja nzima imemzidi kimo!!!
 
Still waiting for MP3 files,

Namheshimu Lissu sana, lakini sina imani kwamba uchumi umezama kichwani kwake kwa hiyo nitakuwa mnafiki kama sitasema ninamwamini kwenye uchambuzi wa sheria kama contract/agreement, zaidi ya uchambuzi wa kwamba nchi imepata nini? in terms of ROI?, kwa kuwa hii haihitaji simple algebra kama wengi wetu wanavyoamini... ni complex kiasi fulani...and sometimes it is easy kumpleka mtu mahali mchambuzi yeyote anapotaka!!!

Kama siri kali ina namba tofauti na hizo za Lissu kwa nini wanaendelea kuzifanya siri miaka yote hii!? 😕

Kama namba zao ni bomba si ndio zingewafagilia na kuwapa ujiko zaidi kwa wananchi!? Kwa nini wanaendelea kufanya siri details za mikataba hiyo?
 
Nchi yetu imefikia mahali pazuri sana na ninaona huko tuendako ni kutamu zaidi. Maajabu ni kwamba wabunge wetu wakiomba hiyo mikataba wanaambiwa ni siri, je Tundu Lissu amepata wapi huo mkataba wa Buzwagi? Hili ni fundisho kwa serikali ya JK kwamba imekalia kuti kavu na kuna dalili zote kwamba upepo ukizidi kuvuma itajikuta iko chini tena kwa kutenguliwa mgongo kiasi kwamba kusimama tena itaichukua muda wa miaka mingi sana. Kejeli ambayo wamekuwa wakiitumia kwamba CCM itadumu daima naona wanahitaji kuifanyia review kwa haraka sana, watu wameamka na wanaangalia kila kinachofanyika na kinachofanywa na serikali ya Tanzania.

Mungu wabariki wazalendo wote walio na uchungu na nchi yao ya Tanzania kwa kuwa wana haki yao. Wale wasio na uchungu na nchi yao waondoke watuachie nchi yetu tutaangalia namna ya kuijenga maana imani tuliyokuwa nayo kwao kwa kuwakabidhi serikali na mamlaka ya kufanya maamuzi kwa niaba yetu, imani hiyo sasa hivi haipo tena. Imefika mahali watu hao wamelewa madaraka na wameanza kufanya maamuzi kwa niaba ya matumbo yao na familia zao!!!!
 
Dakika zingine kumi hizi hapa

Ahsante sana kwa juhudi zako CMB. Waungwana, kama mkataba huu utapatikana basi tuupeleke katika vyombo vya habari vya kimataifa kama BBC ili kuwaonyesha jinsi tulivyolaliwa katika mkataba huu. Pia nadhani kuna vyombo vya kimataifa ambavyo vinatetea maslahi ya nchi za Afrika katika mikataba yake na Makampuni makubwa, hawa nao tuwapelekee mkataba huo na kuwaomba waupitie na kutoa mapendekezo yao nini kifanyike ili Tanzania na Watanzania wanufaike na rasilimali zao.
 
The 15 remaining minutes.

I guess we can all listen and comment our views.
 
Hawa dawa yao unapeleka huo mkataba huko TSE na kwa wabunge wa Canada as well na kuwaambia kuwa kodi wanayolipa jamaa ni wanayolalia wananchi wa nchi maskini.
 
CMB.. nitaunganisha yote halafu nione kama naweza kuiweka KLH News.. kwa ushirikiano wako..
 
Bravo Mr Lissu!
Just the fact that umeupata huo mkataba...naona mwanga... Sasa tumeamka !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
I could not stand the interview...it went to my "core".
 
Revealed: Details of the Buzwagi contract

-Final draft prepared by experts was further 'amended' before signing in London


THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

A KEY provision in the Buzwagi gold contract was deleted by hand at the controversial signing of the deal in London early this year, effectively exempting the Barrick Gold subsidiary handling the project from paying all taxes falling under the East African Customs Management Act of 2004.

According to the leaked contract seen by THISDAY, a sentence in Article 4.2 of the agreement ? obliging the investor to pay the government any tax, duty, fee or other fiscal obligation under the EA customs union - was struck out of the final contract draft before signing.

The agreement for the development of a gold mine at the Buzwagi area in Kahama District, Shinyanga Region was signed by the Minister for Energy and Minerals, Nazir Karamagi, representing the Tanzanian Government on one hand, and Gareth Taylor of Pangea Minerals Limited - a subsidiary of Barrick Gold Corporation ? on the other. Taylor is also the executive general manager of Barrick Gold Tanzania Limited in-charge of operations.

No witnesses on either side of the pact, signed in the UK capital on February 17 this year, were listed.

Under the terms of the agreement, the government is to grant a special 25-year mining licence to Pangea Minerals Ltd ’’as soon as possible and in any event not later than 60 days’’ after the Barrick Gold subsidiary lodges an application for such a licence.

The Buzwagi contract was signed at a time when the government was in the process of reviewing the various gold mining policies, laws and contracts in the country, with a view towards creating what has been officially termed a ’win-win’ situation.

However, at least two independent sources familiar with the deal have told THISDAY that the signatories to the agreement - Karamagi and Taylor - amended the final draft by hand during the signing function in London.

It is now understood that the original contract, drafted by a team of experts from the Ministry of Energy and Minerals in Dar es Salaam, took into account the fact that the East African Customs Management Act of 2004 was in force and should be duly incorporated in the agreement.

But in what now appears to have been a surprise move, the key sentence was penned out with Karamagi’s approval just before the signing.

’’All other major mining contracts in Tanzania were signed before 2004 - that’s why they don’t fall under the East African customs union. But the Buzwagi contract is different because it was signed after the customs union came into force, and should therefore have fallen under the East African Customs Management Act,’’ said one well-placed insider on the deal.

Under other fiscal terms of the agreement on the same Article 4 provision, Pangea Minerals Ltd would be required to pay the (Tanzanian) government ’’a royalty at the rate of 3% on the Net Back Value of all minerals produced from the Contract Area, other than diamonds, in respect of which the royalty shall equal 5% of the Net Back Value.’’

The company is also legally bound to pay the government ’’stamp duty under the Stamp Duty Act No.20 of 1972, as in effect on the Fiscal Stabilization Date,’’ and $125,000 by December 31 of every year of production as a contribution to the state’s Empowerment Fund.

On payments to local government, the agreement stipulates that the rates and taxes should not exceed those generally applicable in Tanzania; should not be based on profit, turnover, sales or output from mining operations; and should not be based on the value of land used for the mine, mining infrastructure or installations.

This, however, is provided that the aggregate of such rates does not exceed $200,000 in any one calendar year.

The signing of the Buzwagi contract in London has raised a lot of controversy with opposition Member of Parliament Zitto Kabwe (Kigoma North-CHADEMA) demanding a parliamentary probe into the deal.

For all his insistence, the MP ended up being suspended from parliamentary duties. But this somewhat bizarre turn of events only served to gift the political opposition camp with a popular platform to further advance their convictions on the subject of mismanagement of the country’s natural resources.

Minister Karamagi has endeavoured to defend himself on the Buzwagi affair, claiming that there were no irregularities involved and maintaining that the agreement signing was fast-tracked to meet strict funding and production schedules.

Barrick Gold Tanzania Limited has also sought to clear the air over the deal, asserting that there was no wrongdoing involved as suggested by opposition politicians.

The company’s executive general manager (corporate and legal affairs), Deo Mwanyika, told a news conference in Dar es Salaam recently that the agreement was pre-approved by relevant government authorities in the country after ’thorough negotiations’ spanning a period of about eight months.

’’(During the negotiations) we were asked to give very detailed presentations to the government’s advisory committee on minerals, which has the legal obligation of advising the minister of energy and minerals on matters related to minerals development and mines,’’ said Mwanyika.

It is further noted that although Barrick Gold officials have claimed the agreement was signed in the presence of Tanzania’s High Commissioner to the United Kingdom, Ms Mwanaidi Maajar, her signature does not appear anywhere in the document, as a witness or otherwise.

This is despite the fact that Ms Maajar herself is also a well-known lawyer.

The Buzwagi area has proven and probable gold reserves of around 2.64 million ounces, where Barrick Gold has announced plans to invest up to $400m (approx. 520bn/-) for mine development purposes.

****************************************************
Je, ku-leak kwa huo mkataba kuna mkono wa wana CCM walio nje ya mtandao? Nimejiuliza kwa kina juu ya hili na hapo ninashawishika kusema kwamba JK ana kazi ya ziada kuendelea kumkumbatia Karamagi na hasa baada ya hii siri ya kufuta sehemu ya mkataba kwa kalam ya wino.
 
kuna mtu ataimba wimbo wa kikwao hivi karibuni, maana kubebana kuna mahali mtu unasema "enough is enough" kuna mtu yuko njiani kutoswa. Mkataba naambiwa umechapishwa kwenye gazeti la "kulikoni" na msishangae vyombo hivyo vya habari vitachukuliwa hatua kwani vinavunja sheria ya Madini ya 1998.
 
Back
Top Bottom