The case against MUSTAFA MKULO


Vacancy
A prosecutor is needed immediately
 

Kwa hali kama hiyo tutegemee maendeleo kweli?
 

Leta data za kukidhi hoja zako. Mbona unabishana na ukweli?
 
Mkulo nilikwishamstukia siku nyingi. Hata mimi niliwahi kujiuliza juu ya elimu yake mapema sana. Nikaenda ku-surf website ya bunge nikapata hayo madudu. Bado nilikuwa natafuta data zaidi. Pengine siku si nyingi tutamwaga mchele hadharani. Mpaka sasa kwa haya ninayoyajua juu ya Mkulo, ni kichekesho huyu jamaa kuwa waziri wa fedha.
 
Kuna watu wengi wamesoma O Level hadi A Level kwa kujisomea wenyewe au Private Candidate hadi sasa inakubalika.

Mfano mtu akisema alisoma Diploma ya ualimu chuo cha Ualimu Chang'ombe mwaka 1992.hivi sasa uki google hakuna chuo hicho kwani kimekuwa chuo kikuu kishiriki DUCE.
au mtu akisema kasoma Institute of Development and Management-IDM MZUMBE 1988 akapata Advanced Diploma ya uhasibu.uki google hivi sasa hutapata kwani kipindi hicho Google haikuwepo.

Master unaweza kufanya bila ya kuwa na digri hata kidato cha sita mifano iko mingi hata ukiwa na elimu ya kidato cha nne unaweza kufanya masters.Professor Mwandosya hana digri ana diploma tu,Kamala ana advanced Diploma na akapata Masters.
Chuo kinaweza kubadili jina au kufa mifano ni mingi sana.

ACCA ni Qualification ya heshima kubwa duniani sana na bodi yake inashemika sana ni kati ya bodi bora duniani.

KUHUSU vyeti feki kuna Mary Nagu,Kamala,Nchimbi,MAHANGA,LUKUVI,DAVID MATHAYO,nk.
 
Inawezekana kusoma Private candidate ni jambo la kawaida.
 
Haya mambo ya private candidate kwa Tanzania yalianza lini hasa kwa O level na A level?.
 
Usidhani una dili na wajinga hapa. Umesema ACCA ndio qualification ya juu kabisa katika fani hiyo. Sasa kwa nini baada ya ACCA alijaribu tena kutafuta CPA feki?

Ndiyo mambo ya secret ID hizo. Unaweza kukuta mnamsema mwenyewe au mtu wake haha. Maana hata mimi nashangaa anavyo mtetea kwa jazba. Halafu anaongea kama anamjua personally so utakuta ni mtu wake wa karibu.
 
Siku nyingi nilishahisi kuwa Mkulo ni kihiyo na tapeli. Lakini ndio hao Mwungwana anapenda ku rub shoulders nao.
 
Siku nyingi nilishahisi kuwa Mkulo ni kihiyo na tapeli. Lakini ndio hao Mwungwana anapenda ku rub shoulders nao.


Time it Takes to Get a Bachelor's Degree. Earning a bachelor's degree on the basis of your life experience or online equivalency test is a matter of days, not months or years. No classes and no admissions are required; hence, there is no need to wait for something you already deserve. You can apply to receive your degree in just 15 days
 
Mbona wapo wengi why pick on Mkulo pekee? Baraza zima la Mawaziri lichunguzwe. Halikadhalika maofisini kuna Wakurugenzi na maofisa wa ngazi za juu na za chini 'vihiyo' wengi tu wanaopata nafasi hizo kwa upendeleo na kifisadi. Tutakuwa hatutendi haki kwa kushutumu mtu mmoja wakati system nzima imeoza. Binafsi namfahamu Mkulo, he is just an innocent guy ambaye upepo wa 'bahati' umemkumba!
 
Siku nyingi nilishahisi kuwa Mkulo ni kihiyo na tapeli. Lakini ndio hao Mwungwana anapenda ku rub shoulders nao.

Muungwana kwa kweli amefanya mambo ya ajabu,kama haya yanayosemwa huku kuhusu Mkulo na mawaziri wenzake ni kweli kwa nini asiwamwage na kuteua mawaziri wenye sifa zinazofaa.Kuna wakati muungwana alisema Urais wake hauna ubia na mtu.

Lakini kwa mambo yanavyokwenda inaonekana kuna mawaziri kibao vihio amewabeba mgongoni na matokeo yake ndio kuwa na serikali inayopaform vibaya kuliko zote tulizokwisha kuwa nazo.

Swali kwa nini asifanye mabadiliko kama kweli muungwana yuko makini na anachokifanya?
 
hivi viongozi wanafanyiwa vetting au system yote ndo ilivyooooooooooooooooo...
 
hivi viongozi wanafanyiwa vetting au system yote ndo ilivyooooooooooooooooo...

Hujui kwamba Vetting ni 'fashion' ya zamani iliyopitwa na wakati! Hata wauza 'unga' na 'mafiosa' wanaweza kuteuliwa kushika nafasi nyeti!
 
kanda2 said:
Professor Mwandosya hana digri ana diploma tu,

kanda2,

..Prof.Mwandosya amesoma 1st degree na PhD ktk vyuo vinavyoheshimika UK.

..elimu yake huyu mzee siyo ya kubabaisha.



mwanaHabari,Kidatu,Dilunga,Jasusi,steveD,

..nadhani ukiwa na ACCA bodi ya wahasibu inakutambua moja kwa moja.

..ninachoshangaa ni kwanini Mkulo atafute na CPA. labda alikuwa anafanya kama hobby tu. pia hailezwi kama ni CPA I au CPA II.

..kwa mtizamo wangu ACCA peke yake, bila advanced degree ktk masuala ya accouting, finance, au banking, haitoshi kwa waziri wetu wa fedha ktk zama hizi.

..Mkullo amepata MBA bila kuwa na 1st degree ya fani yoyote ile. hilo tu kwangu ni tatizo. Wizara ya fedha siyo mahali pa kuweka watu waliosoma kwa kuunga-unga.

..suala lingine ni kwamba CHUO kilichomtunukia MBA inaelekea ni FEKI.

NB:

..hata Mary Nagu naye ana matatizo kama ya Mustafa Mkullo.
 

Bongo Tambarare huyu Mzee bado anapeta tu......
 
Nyie mnamteetea Dau hmna kitu.Makusanyo ya NSSF kupanda ni kutokana na hali ya uchumi pia kupanda na mishahara nayo kupanda.Kwani wakati wa Mkulo kulikuwa na Members wangapi NSSF na sasa wako wangapi?Dau kaleta mabadiliko katika imani za kidini tu.Kaanziasha udini NSSF utadani ni taasisi ya kiislamu.
 
Tunaomba uongozi wa JF uwafanyie Watanzania wema na kuirudisha siasa hii thread

wiki hii tunaipumzisha ile ya website sasa tutajadili hii ya Mkulo...degree feki na mengineyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…