The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Ni Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo inaweeza kuweka mtu asije na uwezo kwenye wizara nyeti kama Fedha. I think JK has gone too far, na kama atakaa mpaka 2015 basi nchi hii itakuwa kama Zimbabwe ingawa hatutawekewa sanctions. Imagine unamtoa Megji unamuingiza Mkullo!!! Nchi isha haribika sasa ni matter of time wananchi wataanza kuliona hilo hata issue za kwamba Nkapa fisadi watasahau. Wananchi watamgeuzia kibao yeye mwenyewe.